Pages

Jumapili, 1 Novemba 2015

MAPAFU KUJAA MAJI





MAPAFU KUJAA MAJI

MAPAFU ndio kiungo kinachotegemewa sana katika mwili kama utafanya mazingatio maana UBONGO ukikosa oxygen ndani ya dakika 5 kwenda juu  seli za ubongo hupata athari na hufaa,

Mapafu yana husika katika uchukuaji wa oxygen inayo toka puani au mdomoni na kuipeleka katika sehemu husika mwisho hufika katika vifuko vidogo sana (( alveoli )) vipo million 300 na zaidi ambapo oxygen hutoka kwenye kuta hizo na kuingia katika damu na kushambazwa sehemu zote za mwili kupitia moyo 




SABABU ZA KUJAA MAJI

sababu hua ni maji kuwepo kwenye mapafu ambapo humpelekea mgonjwa kupata tabu sana kupumua na hua sababu kubwa ni Moyo kushindwa kusukuma damu kwenye sehemu za mwili

Moyo kushindwa kufanya kazi kama inavyo takiwa kutokana na mishipa kuathirika na kupitisha maji (congestive cardiac failure)

kufaili au kuto kufanya kazi vyema kwa ini

kuathirika kwa mapafu kutokana na magonjwa au kuumizwa

kufaili au kuto kufanya kazi vyema kwa figo

TIBA YAKE


chukua MBEGU ZA PAPAI uzikaushe kwa moto kama una kaanga kisha zisage. 

Baada ya kusaga upate unga kiasi cha gr 125 changanya na ASALI nusu lita.

 MATUNIZI YA DAWA

 tibazakissuna.blogspot.com 

 chukua kijiko kikubwa cha chakula kisha kunywa vijiko viwili asubuhi na vijiko viwili usiku kwa siku 29 utapona in shaa Allah