KATIKA MAISHA JAMBO ZITO NA AMBALO LINA NAFASI KUBWA BAINA YETU NI KUA NA MWENZA WA MAISHA YAANI KUA NA MUME AU MKE AMBAE UTADUMU NAE NA ATAKUPA WATOTO NA PIA ATA KUSHAURI NAMNA YA KUJENGA MAISHA NA KUA NA FAMILIA BORA
©tibazakissuna.blogspot.com
MASWALI MENGI NINAYO ULIZWA NA WANAWAKE NI
>> MBONA KILA MWANAUME NINAE KUA NAE IKIFIKIA SWALA LA NDOA ANAPOTEA JAPO ATATOA MPAKA MAHARI
>>KWANIN NIKILALA NA MWANAUME TU HUTOKEA HALI YA MIMI KUMCHUKIA NA TUNAACHANA
>>MBONA NIKIJICHEZEA NAFIKA NA HATA KWENYE NDOTO PIA NAFIKA ILA MUME WANGU AKINITAKA NAMCHUKIA NA HATA KUNIFIKISHA HANIFIKISHI
>> KWANINI SIKU HIZI SIPAT HATA MWANAUME WA KUNIOMBA UCHUMBA
>> KWANINI CHUNUSI ZANGU HAZIISHI USONI NIMETUMIA KILA AINA YA DAWA LaKINI BADO ZIPO
KWA KAKA ZANGU
©TIBAZAKISSUNA.BLOGSPOT.COM
>> NINAPO KUA NA MUANDAA MKE WANGU UUME HUA SAWA ILA NIKITAKA KUMUINGILIA TU UUME HUNYWEA TATIZO NI NINI
>>KWANINI NIMEKUA NIKIWAOGOPA SANA WANAWAKE NA NAPENDA KUFANYA MUSTARBATION NA KUANGALIA PICHA ZA NGONO
>> SI MWANAMKE WALA SIO KAZI HAKUNA NINACHOPATA NA NIKILALA NAOTA NAANGUKA KUTOKA SEHEMU ILIO JUU NA KUANGUKA UMBALI MREFU SANA
© tibazakissuna.blogspot.com
JAPO MATATIZO HAYA YANAWEZA KUA YA KISAIKOLOGIA AU KUTOKUA NA MBINU SAHIHI ZA KUKABILIANA NA HALI HALISI YA KILE UNACHO KITAKA ILA PIA NI MUHIMU KUJUA KWAMBA KAMA UMEFANYA JITIHADA ZA KUTOSHA KATIKA HAYA NA BADO JAMBO HILO LIPO BASI JUA HUENDA UNA MATATIZO MENGINE HASWA YANAYO SABABISHWA NA JINI MWENYE KULETA NUKSI AINA YA ANKIS
©tibazakissuna.blogspot.com
ILI KUJUA KAMA SIO SAIKOLOGIA BAS NI MUHIMU KUCHUNGUZA NDOTO ZAKO MAANA NDO DIRA YA MAISHA YAKO YA KIROHO AMBAPO HUKUELEZEA MAGONJWA YANAYO KUSIBU AMBAYO HOSPITALI HUWEZ KUYAONA
Sheikh tunaomba ufafanuzi wa hivi visomo maana wengine tumezoea RUQYA n.k ila kwenye blog yako naona kuna visomo vya Khawatim n.k. Tunaomba shule maalim.
JibuFutavisomo vipo vingi sana na vyote kafundisha mtume s.a.w kama unataka darasa ni mpaka tuonane
JibuFuta