Mirija ya uzazi kwa mwanamke (fallopian tube) ni mirija miwili kila moja upande mmoja inayo unganisha kati ya OVARIES (ambapo mayai huzalishwa) na mayai yanapo komaa hupitia sasa kwenye mirija ya fallopian na yai kukutana na mbegu za kiume na kua (fertilezed) na kushuka kwenye UTERUS (kizazi) kwa ajili ya uzalishaji
AINA YA UZIBAJI WA MIRIJA
Matatizo katika mfumo wa uzazi huanzia aidha ukeni au ndani ya kizazi. Maambukizi ya ukeni huweza kujipenyeza hadi ndani ya kizazi na kushambulia tabaka la ndani ya kizazi na mirija.
HYDROSALPINX hii hua ni mirija ya yai kuongezeka kwa umbo kutokana na mirija kujaa maji na kuzuia mbegu kupita ili kukutana na yai na hali hii kupelekea kutokupata mimba
NINI HUPELEKEA KUZIBA KWA MIRIJA
> PID = (PELVIC INFLAMMATORY DISEASE) Hii hua ni matokeo ya maambukizo ya zinaa ambapo huleta makovu yenye uvimbe na kusabaisha mbegu kutopita, ila sio lazima uwe una ugua hata kama ulikua una historia ya kuugua mara kwa mara magonjwa ya zinaa kama kisonono hupelekea hali hiyo
> Historia ya kufanyiwa UPASUAJI wa sehemu zisizo za kawaida kama tumboni na kizazini
> ECTOPIC PREGNANCY kutunga mimba kwenye mirija ya uzazi ( fallopian tube ) na kutokushusha yai kwenye kizazi ambapo huleta hatari zaid na hugundulika baada ya wiki nane kwa vipimo, pia yai huweza kutunga kwenye mdomo wa kizazi (cervic).
> Kufanyiwa upasuaji kwenye mirija ya uzazi ( fallopian tube )
> Kutoa Mimba
DALILI ZA KUKUJULISHA
# Maumivu chini ya kitovu yasiyo kwisha
# maumivu wakati wa jimai
# Kutokupata ujauzito hata kama ulipata mara moja
# kutokwa na uchafu usio wa kawaida kwenye uke
TIBA
© tibazakissuna.blogspot.com
Chukua SANAMAKI na ZATTARI ujazo sawa.
Kisha chota ujazo wa NGUMI yako uchemshe kwa MAJI LITA MOJA NA NUSU.
Yachemke mpaka yabaki NUSU LITA halafu utakunywa ASUBUHI na USIKU.
utakunywa kwa siku MOJA tuu
Kisha utarejea tena baada ya MWENZI MMOJA.
LAKINI kabla ya kuandaa upya UKAPIME kama hauna mimba ili kama utakuwa na mimba USINYWE.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni