Pages

Jumapili, 28 Desemba 2014

TIBA YA SIKIO


Ndugu yangu jinusuru na UZIWI kwa kutumia tiba nyepesi isiyo na gharama. kwanini uzaliwe kamili kisha uruhusu uziwi?
Hakuna ugonjwa usio na dawa, haya maneno kasema MTUME MUHAMMAD SAW   na ndiyo mana tupo kwa ajili ya kuthamini maneno haya.
iwapo sikio linauma au kutoa usaha
basi wahi kuondoa tatizo hili kwa kutumia

 1) mafuta ya habat sauda

 2) mafuta ya vitunguu thaum

 3) mafuta ya kenge

JINSI YA KUTUMIA

tibazakissuna.blogspot.com
mafuta ya habat sauda ml 20

mafuta ya vitunguu thaum ml 20

mafuta ya kenge ml 50

kisha changanya pamoja,halafu weka TONE KIDOGO katika sikio linalo tatiza kisha weka pamba ulale.

Utatumia kwa SIKU 19 . kisha baada ya hapo utakuwa salaama in shaa Allah
na ukisha tumia na kupata majibu mazuri usisite kutujulisha kwa mafundisho yetu mazuri ya  tibazakissuna.blogspot.com

Maoni 4 :

  1. Inshaalah nitafanya hivyo na ALLAH ndio mjuzi ALLAH awajaalie kheri 🙏🙏

    JibuFuta
  2. Inshaalah nitafanya hivyo na ALLAH ndio mjuzi ALLAH awajaalie kheri 🙏🙏

    JibuFuta