Pages

Jumapili, 11 Januari 2015

TIBA YA FIGO (KIDNEY TREATMENT)

TIBA YA FIGO (KIDNEY TREATMENT) 

Figo ni miongoni viungo katika mwili wa binaadamu ambavyo vina thamani kubwa sana,na ni katika viungo ambavyo vinaendesha mwili wa binaadamu,kama ilivyo MOYO,INI,na BANDAMA. 

Kiungo hiki figo iwapo itatetereka kwa namna moja au nyingine, basi mwanadamu italazimika aishi kwa mashaka kama si kumkosa.

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO

1) KUVIMBA MIGUU

2) MKOJO KUA NJANO

3)MWILI KUA MCHOVU

4) KUTAPIKA

5) KUPATA PUMZI KWA TABU IKIWA MAJI YATA JAA KWENYE MAPAFU

6) MAUMIUVU YA KIFUA (kama maji yatakua yapo  pembezoni mwa moyo)

7) MUWASHO USIO KWISHA

8) KUTOKUPATA USINGIZI


lakini pia figo huweza kutibiwa kwa taratibu kupia ulaji wa matango na vitu vywenye asili maji mfano wa peasi
ila kwa kuwa Mtume Muhammad (saw) ametufundisha na sisi tuelemishe
© tibazakissuna.blogspot.com

TIBA YA FIGO

© tibazakissuna.blogspot.com

ZAMDA YA UNGA

KUSTI YA UNGA

CHOTA KIJIKO KIKUBWA na kuweka katika UJI kikombe kimoja,
UJI ambao hauna SUKARI wa CHUMVI

lakini kabla ya kuanza tiba hii inakubi utanguliwe na unywaji dawa wa siku moja ambayo ni SANAMAKI.
 chota ujazo wa NGUMI yako kisha chemsa kwa maji NUSU LITA 
halafu unywe mara mbili kwa siku moja.
 baada ya hapo ingia katika tiba ILE YA MWANZO ukitumia kwa siku 7 hadi 21.
© tibazakissuna.blogspot.com

Maoni 1 :

  1. Kwani shg kukojoa mats kwa Mara inadàbabishwa na mini maana hats mkojo pia hua unsuma

    JibuFuta