Pages

Ijumaa, 23 Januari 2015

UGONJWA WA LIVER FAT {mafuta katika ini}



INI ni moja kati ya viungo ambavyo vinafanya kazi kubwa sana katika mwili wa mwanadamu,
kwa kuzingatia kwamba kiungo hiki hufanya kazi ya ushiriakiano baina yake na moyo, 
moyo na bandama vikishirikiana na figo.

KAZI YA INI KWENYE MWILI
  • HUTOA BILE AMBAZO HUSAIDIA KUFANYA MMENGENYO WA CHAKULA NA PIA KUKIBADILISHA CHAKULA MFUMO WAKE ILI KUUPA MWILI MFUMO UNAO TAKIWA
  • HUPUNGUZA KIWANGO CHA PROTEIN, MAFUTA NA SUKARI KATIKA NJIA ZA DAMU
  • HUVUNJA VUNJA DAWA PAMOJA NA ALCOHOL
  • HUZALISHA CHEMIKALI ZA CLOTTING AMBAZO HUSAIDIA KUGANDISHA DAMU PINDI UNAPOKUA UMEPASUKA AU KUPATA JERAHA
  • HUIIFAZI NUTRIENTS KAMA VITAMINI A MADINI YA CHUMA NA AINA NYINGINE
wakati moyo husafisha damu. hivyo ini linapozingirwa mafuta husababisha blood fat, wakati damu inaweza kukuletea cholesterol. na cholesterol huweza kusababisha hypertension 
INI likiwa na tatizo huweza kukusababishia maradhi ya ganzi mwilini ikiwa ni pamoja na kusinyaa mishipa ya damu.

TIBA YA INI

© tibazakissuna.blogspot.com
CHUKUA BINZALI YA UNGA ROBO KILO
kisha KOROGA KWENYE MAJI YA MOTO kikombe kimoja na kunywa asubuhi kabla ya kula.
Dumu hivyo kwa siku 45
in shaa Allah jambo hilo litakuwa limekwisha
© tibazakissuna.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni