Mtu anayesumbuliwa na maradhi ya kijini,huwa na dalili nyingi kumfahamu, kwa sababu hawi na hali ya kawaida inayo stahiki kwa mwanadamu kamili.
japo kuwa ndugu na jamaa watapata tabu na ikibidi kutumia gharama nyingi ili kumtibu au kumnasua katika janga la maradhi,lakini kama hawakujua dalili ya mwenye kusibiwa na maradhi ya kijini,basi penya nyingi itakuwa ikitumika bila mafanikio.
mtu mwenye kusibiwa na majini huwa dalili kama :
©tibazakissuna.blogspot.com
1# kulala hovyo
2# kukosa usingizi
3# hasira bila sababu
4# huota anashambuliwa na wanyama wakali mara kwa mara
©tibazakissuna.blogspot.com
5# huota anaporomoka katika milima au makorongo mara kwa mara
6# kuweweseka sana anapolala mara kwa mara
7# kuumwa kichwa,meno,macho sikio mara kwa mara
8# kutopenda manukato
9# kutopenda jimai
©tibazakissuna.blogspot.com
10# kutohitaji ndoa
11# kupatwa michubuko na maumivu wakati wa jimai
12# kuota safari safari
13# kupigana ndotoni mara kwa mara
14# kuota wafu mara kwa mara
15# kuota watu wamevaa nguo rangi moja tu
16# kuota watu wasiojulikana,warefu au wafupi sana
17# kusikia makelele masikioni na kutamani kukimbia
©tibazakissuna.blogspot.com
18# moyo kwenda mbio na kutamani kulia
19# kukaa na kuwa na dalili kama kuna mtu nyuma hali hayupo
20# kuota unafanya jimai mara kwa mara
21# kuota una mimba au kunyonyesha au kujifungua
22# kukosa hedhi
23# kuishiwa nguvu wakati wa jimai
24# kuto kuona ladha ya tendo la ndoa
©tibazakissuna.blogspot.com
25# kulala msikitini wakati wa khutba au mawaidha
26# kila unapota kusoma qur an au kusali kujikuta na miayo ima kulala.
27# kuumwa kila siku bila kuonekana ugonjwa hospital
nk
©tibazakissuna.blogspot.com
hii ni baadhi ya dalili ya kujijua kuwa unaathiriwa na majini. kama utapata ZAYT shifaa, na kufanyiwa visomo basi haya yataondoka na kurudi katika ya furaha na amani.
©tibazakissuna.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni