Ili ujue chakula kikufaacho basi kwanza jua afya yako.
1) HARRU YAABIS
ni mtu mwenye mwili MKAVU NA MWEMBAMBA HUA na shida ya usingizi anakuwa mwenye akili sana na ufahamu wa kina.
© tibazakissuna.blogspot.com
2) HARRU RATBI
MNENE KUPITA KIASI, mwenye mafuta mengi mwilini, ana damu nyingi na UFAHAMU WA WASTANI
3) BARDU YAABIS
ni mwenye baridi kavu na homa homa mara kwa mara NI MWEMBAMBA WA WASTANI
© tibazakissuna.blogspot.com
4) BARDU RATBI
ni mvivu sana na hulala hovyo MGUMU KUELEWA na ni MTU ALIE NONA.
Sasa hapa kila mmoja kajijua ni nani.
Lakini pamoja na kuwa kila mmoja kajijua basi epuka maradhi kwa kula VYAKULA vyenye kuendana na wewe kiafya.
© tibazakissuna.blogspot.com
Inaendelea
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni