Pages

Jumatano, 1 Aprili 2015

THAMANI YA AFYA


Assalaam Alaykum
Kila sifa njema anastahili Allah. Rehma na amani zishuke kwa Mtume MUHHAMAD (s.a.w)

MADA NI THAMAN YA AFYA YAKO

Wengi wetu hatuthamini afya zetu kwa sababu hatujui thamani ya afya.
 Lakini afya ndiyo mtaji kamili wa wewe kuweza kupata radhi na msaada wa ALLAH kwa ajili ya akhera yako. 
Na afya inapo tetereka ni sababu ya kukukaribisha katika hasira ya mola wako maana upo jirani kumshirikisha mola ima kukufuru. 

Uislam ni dini inayo thamani sana afya zetu. 

Ndipo Mtume MUHHAMAD (s.a.w) akasema kwamba "MJI USIO KUA NA DAKTARI HAUFAI KUISHI" 

hii ni kuonesha kuwa afya ina thamani kubwa sana. Lakini vipi utaweza kuilinda afya yako? Ili uilinde afya yako basi kwanza lazima ujue yafuatayo
Binadamu tumegawika makundi 4 kiafya. 


1) HARRU YA  YAABIS

2) BARDU YAABIS

3) HARRU RATBI

4) BARDU RATBI

Ukisha gundua wewe nani basi unaweza kuilinda afya yako na kupata mtaji bora katika kumuabudu aliye kuumba.
Itaendelea 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni