#HIJABU ( KISEYESEYE )
Vitamini C ni vitamini inayopatikana hasa katika matunda na majani mabichi.
Kikemia ni
aina ya ❄#asidi askobini na binadamu ni kati ya spishi chache ambazo haziwezi kutengenezaasidi hii mwilini.
Kwa hiyo watu hutegemea chakula chenye kiwango cha vitamini hii kutoka katika vyakula.
® tibazakissuna.blogspot.com
Vitamini C ina kazi muhimu katika mchakato wa kuponya vidonda mwilini.
Uhaba wake kwa muda mrefu unasababisha ugonjwa wa kiseyeseye (au hijabu).
® tibazakissuna.blogspot.com
#HIJABU HUSABABISHA
kwenye ufizi wa meno kuwa na vidonda
¤ kuchoka sana na kuwa na mabadiliko ya hali kama kua na hasira za haraka
#kwa ngoz na sehemu za viungo kuuma
® tibazakissuna.blogspot.com
#vidonda vingine mwilini kutopona
TIBA YAKE
Tumia vyanzo bora vya Vitamin C haswa au vyakula vyenye uchachu
#limao
#Machungwa
#2. Tumia vyakula vyenye Asili ya kijani
Ubora wake unapatikana ikiwa hujapika zaidi ya dakika 10
#Usifunike utapoteza ule ukijan wake
#Usikatekate mboga kisha ukaosha, vyema uoshe alafu ukate mboga kwan kukata kisha ukaweka kwenye maji utaacha madini yote kwenye maji
® tibazakissuna.blogspot.com