CHUNUSI
ngozi hua na vitobo/tundu ndogo ambapo tundu hilo hushuka mpaka kwenye kimfuko kinacho zalisha majimaji yenye mafuta ( oil gland ) ambapo maji hayo hutumika kulainisha ngozi, pia tundu hilo hutumika kusafirisha seli iliyo kufa kuipandisha juu ya ngozi
pia tundu hilo hutumika kupandisha nywele japo hata unywele utokelezee kwenye ngoz tundu hilo hubakia
© tibazakissuna.blogspot.com
sasa ikiwa tundu hilo litashambuliwa na bacteria au kitu kuziba hupelekea yale maji maji kuganda na kuwa mafuta pia unywele ndani kukatika kama ni eneo la nywele pia seli seli zilizo kufa hukaa kama uchafu ndo maana unapo uminya hunuka , baada ya muda ngozi kujaa na watu kuiona kama CHUNUSI maeneo ya mgongoni na usoni
© tibazakissuna.blogspot.com
SABABU ZA KUOTA CHUNUSI
hakuna sababu ya kitaalamu ya kusema moja kwa moja kua chunusi husababishwa na nin ila
- UMRI WA MIAKA 11 MPAKA 30 kutokana na mabadiliko ya mwili na ongezeko la androgen
- MAJINI MAHABA
DAWA YA MAPELE
© tibazakissuna.blogspot.com
basi chukua SHUBURI SOKOTARI
kisha yeyusha kwa maji safi.
baada ya kwisha kuoga paka yale maji yenye shubiri katika sehemu zilizo athiriwa na ugonjwa.
kipimo
chukua SHUBIRI SOKOTARI vijiko viwili vikubwa na uweke katika maji lita moja. na iyeyuke vizuri. utatumia kwa siku 9
itakusaidia hata kuondoa athari za maradhi au alama za makovu yaliyokuwepo kutokana na ugonjwa huo.
© tibazakissuna.blogspot.com
Samahani shubiri kokotari ndiyo nini
JibuFutaSamahani shubiri kokotari ndiyo nini
JibuFuta