Pages

Jumatano, 26 Agosti 2015

UGONJWA WA HIJABU


#HIJABU ( KISEYESEYE )

Vitamini C ni vitamini inayopatikana hasa  katika matunda na majani mabichi.

 Kikemia ni
aina ya ❄#asidi askobini na binadamu ni kati ya spishi chache ambazo haziwezi kutengenezaasidi hii mwilini.

Kwa hiyo watu hutegemea chakula chenye kiwango cha vitamini hii kutoka katika vyakula.

® tibazakissuna.blogspot.com

Vitamini C ina kazi muhimu katika mchakato  wa kuponya vidonda mwilini.

Uhaba wake kwa muda mrefu unasababisha ugonjwa wa kiseyeseye (au hijabu).

® tibazakissuna.blogspot.com

#HIJABU HUSABABISHA

kwenye ufizi wa meno kuwa na vidonda

¤ kuchoka sana na kuwa na mabadiliko ya hali kama kua na hasira za haraka

#kwa ngoz na sehemu za viungo  kuuma

® tibazakissuna.blogspot.com

#vidonda vingine mwilini kutopona

TIBA YAKE

Tumia vyanzo bora vya Vitamin C haswa  au vyakula vyenye uchachu

#limao

#Machungwa

#2. Tumia vyakula vyenye Asili ya kijani
Ubora wake unapatikana ikiwa hujapika zaidi ya dakika 10

#Usifunike utapoteza ule ukijan wake

 #Usikatekate mboga kisha ukaosha,  vyema uoshe  alafu ukate mboga kwan kukata kisha ukaweka kwenye maji utaacha madini yote kwenye maji

® tibazakissuna.blogspot.com

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni