Pages

Alhamisi, 14 Aprili 2016

KUHARIBIKA KWA MIMBA



TATIZO LA UHARIBIKAJI WA MIMBA CHINI YA MIEZI MINNE

Kwa huzuni kubwa

Kuelezea tatizo hili ni kuigusa jamii
Leo wapo watu walio kata tamaa na uzazi kwa khofu kuwa hawawezi tena kuzaa.
Lakini nini tatizo mpaka kufikia huzuni na ukataji tamaa?
Ni kutokana na kukosa tiba sahihi ya kutokemeza tatizo hili ambalo linakosa msaada wa kisayansi
Tatizo la kuharibiwa mimba chini ya MIENZI MINNE ni tofauti sana na lile la kutoka Mimba iliyo vuka MIENZI SABA
Tatizo hili husababishwa na aina majini wajulikanao kama الجن طيور
Ama ukiongea kuhusu majini hawa TWUYUUR huwa ni wale majini ambao wengi wake wana dini ya kiyahudi na ndiyo maana ukiwasomea Quran huwa jeuri sana
Majini hawa mtu mwenye kuwa nao huwa na tabia hizi
 
1) akilala huota anapaa angani

2) huwa hapendi ibada bila sababu za msingi

3) hulala bila sababu panapo ongelewa dini

4) hapendi maongezi ya dini dini

Na mwenye majini aina hii huwa na tabu sana kwa sababu huwa anapoteza hisia za mapenzi
Pia jini huyu huwa ana tabia ya kupenda kujitokeza wazi kwa binaadam akiwa kama binaadam

Na mwenye kusibiwa na jini huyu huwa na tabia hizi
tibazakissuna.blogspot.com

1) kuhisi mtu pamoja naye hali hakuna mtu

2) kukutokea kama mtu unaye fahamiana kisha kutoweka

3) kuwa na tabia za kukaa na kukosa amani

4)  kulala na kuhisi umelala na mtu. 

Pia ukiongelea kuhusu hawa majini basi unaongelea jambo adhim mno, kwa sababu jini twuyuur kama ni mahaba huwa na tabia za kukujia na kufanya mapenzi ya wazi kama mtu na mtu bila kupitia ndoto
Na ndiyo mtu mwenye jini huyu akipata mimba basi mimba hiyo huharibika kabla ya miezi minne
Na siku ambayo mimba huharibika huwa mwenye mimba anapata ndoto ya kuonyesha mimba kuharibika au mstuko usingizini akiwa ndotoni na akistuka hustuka akiwa katika hedhi na mimba imeharibika
tibazakissuna.blogspot.com

+255784638989
الشيخ إيل


Maoni 2 :

  1. Maoni haya yameondolewa na mwandishi.

    JibuFuta
  2. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anazo dawa hizo hapo dukani kwake pia anazo za kurefusha uume na kunenepesha uume mtafute kupitia 0764839091

    JibuFuta