Pages

Jumamosi, 14 Januari 2017

UNAKULA NIN LEO



UNAKULA NINI LEO

una kula nini na je unajua ulicho kula kina saidia mwili wako au kina endelea kuongeza matatizo katika maendeleo ya mwili wako

mara nyingi daktari atakuambia jitahid sana ule mboga mboga NA PUNGUZA MAWAZO SANA bila wew kujua ni kwann anasema 

watu siku hizi hawapat usingizi mzur watu siku hizi wanaugua sana ugonjwa wa kansa watu siku hizi vitambi vina wasumbua sana watu siku hizi wanaumwa mifupa na maumivu ya meno na maumivu ya kiuno na miguu imekua tatizo

® tibazakissuna.blogspot.com

matatizo yote haya huweza mkuta mtu mmoja na akajiuliza kwann mim
 sasa ili twende sawa kuna kitu kinaitwa pH baadhi yetu tulisha soma shule ya msingi tukapewa kakaratas cha kupima na rangi ina badilika ukiweka kwenye maji ya limao

sababu ya mim kuongelea pH ni kwamba vyakula tunavyo kula mwisho wa siku huangukia kwenye TINDIKALI NEUTRAL na ALKALI ambapo kipimo hicho hua kuanzia 0 ambayo ni acid kali zaid mpaka 14 ambayo ni alkali kali zaidi na KATIKATI NI 7.0 ni neutral ambayo unaweza angalia kwenye maji mfano kilimanjaro utaona pH yake ni 7.0
sasa

® tibazakissuna.blogspot.com

☑ KUANZIA 7.1 8 9 10  ⤴ 14 ni ALKALI  (BASE) ambavyo vyakula vyake ni kama vile 

APPLE, NYANYA, SPINACH, KAROTI, PARACHICHI, TANGO,  MAJI YA MTO, MAJI YA BAHARI, VIAZI VITAM, ZABIBU, BINZI, TENDE, NANASI, VITUNGUU MAJI, LIMAO, NDIMU, TINI, UYOGA, TIKI TIKI MAJI NA KADHALIKA 

✅NA KUANZIA 6.9, 5, 4, ⤵ 0  NI ACID AU (TINDIKALI) AMBAPO VYAKULA VYAKE NI KAMA VILE

NGANO, NYAMA YA NGURUWE, WINE, KAHAWA, CHOCOLATE NYAMA NYEKUNDU,MIKATE MEUPE, BIA, KIINI CHA YAI, SAMLI, MCHELE, POPKONI, CHAI, SODA VINYWAJI VYA KUONGEZA NGUVU, PINATI, MAZIWA YA SOYA, COCOA, MAINI NA KADHALIKA

ILI MWILI UWEZE KUFANYA KAZ YAKE VYEMA NI LAZIMA VITU HIVI VIWILI VIWE SAWA YAAN ASIDI NA ALKALI ZIWE ATLEAST ZIKO SAWA TOFAUT NA HAPO UTAONA MTU ANASUMBULIWA NA YAFUATAYO

HOMONI HAZIKO SAWA,UPUMUAJI WAKE UNATABU,  KUNENEPA SANA AU KUKONDA, KIBOFU NA FIGO KUA HATARINI, KINGA YA MWILI KUSHUKA, FANGASI KUONGEZEKA NDAN YA MWILI, UVIMBE KUTOKEA, MMENGENYO KUCHUKUA MDA MREFU SANA NK

® tibazakissuna.blogspot.com

ILA UKINIULIZA MIMI NI KIPI BORA 

NTAKUAMBIA KUA NI BORA MWILI  UZIDIE ALKALI KIDOGO KWA SABABU MWILI UKIWA UNA MAGONJWA MARA NYINGI MWILI WAKO HUA NI WENYE ACID ZAID MAANA MWILI UKIZIDIA HALI YA ALKALI UNAKUA NA UWEZO WA KUPAMBANA NA MARADHI KWA SABABU UNAKUA NA UWEZO WA KUFYONZA MADINI YANAYO SAIDIA MWILI KUJIIMARISHA 
 
ACID INA UMUHIM PIA HUITAJIKA KATIKA MMENGENYO WA CHAKULA

LAKINI KWENYE MWILI WENYE HALI YA ACID ZAID MARADHI HUPATA NJIA YA KUJIKUZA

UKIANGALIA WATU WENYE KANSA VIPIMO VYAO VINAWEZA AMBATANA NA MENGINE LAKINI LAZIMA UTAKUTA ACID IMEZIDI NA  OXYGEN KUA PUNGUFU MAANA SELI YA CANCER NI YA ACID NA HAIWEZI KUISH KWENYE MAZINGIRA YA OXGEN HIVYO MAZINGIRA YAKIWA ALKALI NA OXYGEN MARADHI YANACHUKIA

MWILI UNAJIELEWA VYEMA KUA SASA IMEZIDIA ALKALI AU IMEZIDIA ACID  KWA KULAMBA KWENYE DAMU  HIVYO KAMA IMEZIDIA ACID ITAKACHO FANYA LAZIMA ITAFUTE ALKALI POPOTE ILIPO ILI KUSAIDIA VIUNGO VYA MWILI KUFANYA KAZI IPASAVYO NDO PALE INAKIMBILIA KWENYE MIFUPA NA KUFYONZA CALCIUM NA MADIN MENGINE KWENYE MIFUPA YAKO NA KUKUFANYA UWE NA MIVUNJIKO AU MARADH YA MIFUPA TARATIBU TARATIBU

 NA CALCIUM INAJULIKANA KUSAIDIA MAMBO MENG IKIWA NI PAMOJA NA KUPATA USINGIZ HIVYO IKIKOSEKANA UTAONA MTU HUYU ANA UMWA MIGUU AU SEHEM ZINGINE ZA MIFUPA NA PIA USINGIZI NI TATIZO KWAKE

KUNA WATU PIA HUPAMBANA NA KITAMBI SANA KWA MAZOEZ NA MAMBO MENGINE LAKIN HAKITOKI KIRAHIS JUA TU KUA MWILI WAKO UNA ACID AMBAYO HUCHOCHEA INSULINI AMBAPO ITALETA NAFASI YA KUCHUKUA MAFUTA ZAIDI NA MWILI UTASHINDWA KUPAMBANA NA KUONDOA SUMU HIYO NDAN YA MWILI IPASAVYO

® tibazakissuna.blogspot.com

SASA KUMBE IKO HIVYO NDO MAANA NILIPO KUA NA KITAMBI NILIAMBIWA NINYWE MAJI YA LIMAO NAFKIRI IMEANZA KUKAA SAWA KIDOGO KICHWAN

NAMNA YA KUTATUA NI KUFANYA KINYUME CHA KILE UNACHO KULA KINACHO ATHIRI MFUMO WA MWILI NA KUPUNGUZA MAWAZO MAANA HUPELEKEA KUCHOCHOEA ACID MWILINI

® tibazakissuna.blogspot.com

NINGEPENDA UFANYE KU LIKE AU KUSHARE WENZAKO WAONE NAO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni