Pages

Jumatatu, 31 Julai 2017

MAUMIVU YA KIUNO


MAUMIVU YA MGONGO

Katika maisha ya binadamu mara moja moja hukutana na huu ugonjwa wa kuumwa na kiuno 
hutegemeana na ukubwa wa tatizo kuna unao weza kuuma kwa mda na mwingine kuumwa kabisa na kua ni ugonjwa wake kias cha kushindwa kutembea 

sababu ni nying kutegemeana na chanzo cha tatizo

KUNYANYUA VITU VIZITO
mara  nyingi watu haswa wakina mama wanakua ni wahanga wa huu ugonjwa wa mgongo bila kujua tatizo hulisababisha kwa kunyanyua vitu vizito mfano ndoo huku akiwa ameinama na kusababisha misuli ya iuno kuvuta

MISULI KUUMA

 hutegemeana na sababu ila mfano wa hapo juu unapo nyanyua vitu vizito vibaya mfano ndoo kubwa ya maji ukiwa wima una pelekea maumivu ya pingili za uti wa mgongo kwa sababu hiyo misuli ya mgongo hujiminya na kua midogo kulinda uti wa mgongo na unapata maumivu makali

PINGILI ZA UTI WA MGONGO

 katika uti wa mgongo kuna pingili 33 na kila moja ikifanya kaz yake sasa katika hizo pingili zipo kama donati na hua zinazungukwa na mafuta pindi inapo jisugua kwa kukosa mafuta husababisha maumivu kushuka mpaka miguuni kwa maumivu

MKAO MBAYA NA MUONDOKO 

mara nying watu wenye kusimama mda mrefu hua ni wenye kupata na tatizo la pressure tofaut na pressure pia swala la mgongo kuwa uma ni swala ambalo lipo kwao sana kwa sababu ya mkandamizo wa mkao mbaya wa kusimama kwa mda mrefu pia watu wenye kushinda kwenye kuendesha magar pia wale wenye kukaa vibaya kwenye computer kwa mda mrefu

kuondoka ghafla kwa kishindo husababisha kama nilivyo sema mvutiko wa misuli ya kiuno na kupelekea maumivu makali

MAGONJWA KAMA JIWE KATIKA FIGO , UTI NA ARTHRITIS 

moja ya sababu nyingine ni kua na jiwe kwenye njia ya figo inapelekea mtu kuumwa na kiuno pia magonjwa ya njia ya mkojo husababisha kiuno kuuma mfano wake ni kama UTI hupelekea maumivu makali sana ya kiuno
Pia kuna ugonjwa ambao ni haru yabis huu husambulia mifupa na kupelelkea maumivu ya mifupa na pia maumivu ya kiuno

© tibazakissuna.blogspot.com 

PIA KUNA  MAMA KUA MJAMZITO MWANAUME KUA NA KITAMBI NA VINGINE MAANA NAKUMBUKA UKIWA KIJANA UKISKIKA UNA UMWA MGONGO UNAAMBIWA OA BHANA UONDOKANE NA TATIZO HILO

NAMNA YA KUTIBU UGONJWA HUU

NJIA YA KWANZA

TUMIA MAJI YENYE JOTO WEKA KWENYE CHUPA MFANO YA FANTA YALE MACHUPA MAKUBWA 

LALIA UKIWA MIGUU YAKO IPO JUU LALIA CHUPA HIYO KWENYE MGONGO WAKO  NDAN YA DAKIKA 15 AU CHINI HAPO 

© tibazakissuna.blogspot.com 

NJIA YA PILI 



CHANGANYA MAFUTA YA NANAA , HABAT SAUDA NA MKARATUSI   TUMIA KUJICHUA HAKIKISHA HUSUGUI MFUPA KAMA UNAVYO SHAURIWA NA WANA MASSAGE FANYA KUMASSAGE MPAKA CHINI YA KIUNO KWA SIKU MARA MBILI KWA UWEZO WA ALLAH UTATIBIKA 

© tibazakissuna.blogspot.com 



Maoni 3 :

  1. Kutana na dr mitishamba anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume kukuza uume na kunenepesha uume kukuza hips shape na makalio kwa mvunge. .uti sugu. .pumu sikio kisukari. Mgongo .presha. .dawa zake ni asil mpigie 0744903557..pia anazo dawa za mapenz bahat nyota biashara. .pia dawa za kuongeza cd 4 kwa mwenye ukimwi

    JibuFuta