Ijumaa, 29 Agosti 2014
UCHAWI WA TIWALA
UCHAWI WA TIWALA.
Ni moja katika aina 410 za uchawi. Na uchawi huu upo aina 4. Leo tutaongelea aina ya 2.
Tiwala kama unakuwa kwa MWANAMKE.
1) mwanamke atakuwa na maumivu makali katika kinena.
2) atakuwa akiumia sana kufanya jimai
3) pia anaweza kuonekana kama ana uvimbe katika uzazi
4) maumivu yenye kufanana na chango.
Na ikiwa kwa MWANAUME.
1) atakuwa anaishiwa nguvu katika jimai
2) anakatikiwa nguvu mara kwa mara wakati wa jimai
3) kama ana wake wawili basi kwa mmoja anakuwa hawezi.
4) kuwa na nguvu wakati anajiandaa lakini akiwa mchezoni anatepeta.
DAWA
Kisomo cha IFTITAAHI na KHAWAATIMU.
Dawa za mfunguo ili kuuwa tiwala.
Msaada wa maswali
Whatsapp tu
+255655826838
+255713826838
+255784638989
Call tu
+255772156789
+255774826838
Jumatano, 27 Agosti 2014
MAJINI ZAWAABIL
Majini aina ya zawaabil.
Ni aina ya majini ambao husababisha aina ya uchawi uitwao Hiriki.
Ule uchawi ambao mtu huvuka ngozi na kutaka kuwa kama albino kwa kuanzia midomoni.
Pia akiwa ni jini mahaba aina ya zawaabil
Basi utakuwa na maradh ya muwasho sirini
Kuchubuka wakati wa jimai.
Mwili kuwa na mipere.
Uso kupoteza nuru kama mwenye nuks.
Pia mwanamke hutoa maji mengi ukeni.
Dawa
Kisomo cha KHAWAATIM
Na kupaka MRUTURUTU , MAFUTA YA ZAITUNI
Pamoja na MAFUTA YA FIGIRI.
Za kula ni SHOMA KHIMSW na BAKAR HADI
Jumatano, 20 Agosti 2014
MICHIRIZI KATIKA MWILI
Michirizi katika ngozi imekua tatizo kwa Watu Wanene na kwa Wanawake mara baada ya kujifungua., Kuna sababu nyingi zinazo sababisha michirizi katika ngozi kama
(1) Mabadiliko ya homon katika mwili
(2) Kupungua kwa mwili haswa baada ya ngozi kutanuka kutokana na unene (kitambi) au ujauzito.
MATIBABU YAKE
Nunua ROSE MARASHI ya ENGLAND sio ya INDIA kisha pakaa sehemu zenye michirizi kila unapooga na usipake mafuta mengine
Tumia utomvu wa Aloe Vera kujipaka sehemu zenye michirizi na utaosha baada ya masaa mawili kupita
Paka mafuta ya Zaituni kwenye Michirizi
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)