KUJIAMINI
KUTOKUJIAMIN KWA MWANAUME NI KITU ASICHO KIPENDA MWANAMKE YOYOTE YULE
KUTOKUJIAMIN KWA MWANAUME NI KITU ASICHO KIPENDA MWANAMKE YOYOTE YULE
KUONDOA
HOFU KWANZA UJUE HOFU YAKO IPO WAPI
*TATIZO*

Sasa wew ndo unae weza tofautisha kua sasa unafanya punyeto BILA MWANAMKE na sasa unafanya na mkeo kitu hichi mwili hukirekod kama kitu kimoja hivyo unapo fanya na mwanamke unaishia ndan ya dakika 3 maana mwil wako ulishaji program kuishia dakika tatu
® tibazakissuna.blogspot.com


*JIBU LETU*

® tibazakissuna.blogspot.com
MKEO KUKUTIBIA

Mkeo ajaribu kuifuta TABIA YA KUWAHI kufika atakacho kifanya atakuchezea mpaka upandishe joto dhakar ifikie hal ya kutaka kutoa manii kisha aache kwa wew kumwambia kua sasa naziskia zinakuja aache dhakar ilainike kias cha kua haijasimama kisha arudie zoez hilo mara tatu au zaid HILI LITAKUSAIDIA pale unapo kua umewahi kufika unakua na uwezo wa kusimamisha na kufanya tena bila kupoteza mda na pia inauwezo wa kukufanya kuzoea msisimko wa kufika tafadhalj usijifanyie wew nina maana yangu kusema ni mwanamke kukufanyia ikiwa hutaweza ni bora utafute mazoez ya uume na pia dawa za kuimarisha uume

usipate
tab sana juu ya hili pata tabu juu ya pumzi yako na namna ya kumuandaa mwanamke
kwan hakika kuna kiongo kimoja cha mwanamke kina mishipa ya faham 8000 ambapo
ukipachezea vyema unafaida ya kumfikisha kabla ya jimai na akaridhika kabisa
bibi harus hua na urefu wa kuanzia inchi 4 akiwa hajaandaliwa na mpaka inchi 5 au 7 kutegemeana na mtu na maandalizI
na raha ya mwanamke ipo juu inchi 3 au zaidi ntaelezea zaid siku ingine kwamba dhakar ilio pinda kuelekea juu ina athar gan katika kumfiksha mwanamke na hasara gan
ila mwanamke anapo sisimka ndan mwake hujaadam kwenye yale matuta na hapo hua inakaa tayar kuendan na kitacho ingia ikiwa ni kidole kimeingia bas uke hunywea sawa sawa na ukubwa wa kidole kitu ambacho humpa faida ambae ana dhakar ndogo
® tibazakissuna.blogspot.com
ila pia
kuhusu dhakar inafanana sana na sindano ile yenye bomba la kat unapo lisukuma
hutoa dawa na unapo vuta lile bomba hua na tabia ya kuvuta dawa hivyo hivyo kwa
mwanaume alie na umbile dogo huvuta uke kupitia yale maskio yake
ya mbele ya uume na kizaz cha mwanamke husogea karib ikiwa kuna hewa bas akiwa anatoa dhakar
hutoka na ile hewa ambayo dhakar iliingiza awali
sasa sio
juu ya mwanaume KUMFIKIRIA/KUMTOLEA MANENO MABAYA mwanamke kua mbona kuna saut kama kupumua anayo iskia ikitoka kwan
wew ndo ulie ingiza upepo na ukautoa (queefing)
NIA SIO
KUKUPA ELIM YA ZINAA LAA NI ELIM AMBAYO WENG WANAIDHARAU KWA KUIONEA HAYA AU
VINGINE MWISHO WA SIKU HUARIBU NDOA ZAO KWA KUTO KUA NA ELIM SAHIHI
KARIBU
ILINDE NDOA YAKO KUJUA ZAIDI