Majini hawa huwa wanamfanya mtu awe na tabia ya kulala hovyo bila sababu za msingi mpaka unaweza kuhisi labda ana tatizo la moyo. mwingine hua na uhaba wa usingizi na hana tatizo lolote la kichwa hali inayo weza kufanya awe ana kula dawa za usingizi kumbe tatizo ni majini aina ya khafqaan.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni