Ijumaa, 4 Julai 2014
MAJINI AINA YA KHAFQAAN
Majini hawa huwa wanamfanya mtu awe na tabia ya kulala hovyo bila sababu za msingi mpaka unaweza kuhisi labda ana tatizo la moyo.
mwingine hua na uhaba wa usingizi na hana tatizo lolote la kichwa
hali inayo weza kufanya awe ana kula dawa za usingizi kumbe tatizo ni majini aina ya khafqaan.
DAWA
kwanza unatakiwa kusomewa kisomo maalumu utanitafuta tusaidiane kisha tumia
mafuta ya :~
© tibazakissuna.blogspot.com
1) zaytun
2) nyonyo
3) nyangumi
yawe mafuta ya kupakaa kichwani asubuhi na usiku.
dawa za kula
kula sana mapeasi
in shaa allah utapona
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni