Jumatatu, 7 Julai 2014
TIKITIKI MAJI
Leo tutaona faida zaid za TIKITIKI MAJI kwa mujibu wa TIBA ZA KISUNA
MTUME (s.a.w) amesema kuna aina mbili za elimu moja ya DINI nyingine ya MWILI.
Pindi unapo kula tunda unashauriwa kula TIKITIKI MAJI kwani ni tunda la peponi
MTUME (s.a.w) alikua akila TIKITIKI MAJI akichanganya na TENDE
FAIDA ZA TIKI TIKI MAJI
© tibazakissuna.blogspot.com
MTUME (saw) amesema hakutakua na moja kati ya wake zenu ambae atakula MATIKITI MAJI asijifungue MTOTO alie na AFYA njema na AKILI. Na Wanasayansi wameithibitisha kauli kua ni KWELI (2003 study in the International Journal of Gynecology)
Husaidia kuondoa kiungulia kwa Mama wajawazito Pamoja na magonjwa yanayosababishwa na ujauzito
Lycopene hutolewa na Matikitiki ambayo Huondoa hatari ya kutokupata mimba (pre-eclampsia) au mimba kuharibika
Husafisha KIBOFU CHA MKOJO huondoa harufu mbaya UKENI ukila kwa wingi ILA ISIPITE KIWANGO na pia kukulinda na cancer
Lycopene hutolewa na Matikitiki husaidia kuimarisha Mbegu za Kiume
Hupunguza unene na kitambi (obesity)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni