Jumatano, 27 Agosti 2014
MAJINI ZAWAABIL
Majini aina ya zawaabil.
Ni aina ya majini ambao husababisha aina ya uchawi uitwao Hiriki.
Ule uchawi ambao mtu huvuka ngozi na kutaka kuwa kama albino kwa kuanzia midomoni.
Pia akiwa ni jini mahaba aina ya zawaabil
Basi utakuwa na maradh ya muwasho sirini
Kuchubuka wakati wa jimai.
Mwili kuwa na mipere.
Uso kupoteza nuru kama mwenye nuks.
Pia mwanamke hutoa maji mengi ukeni.
Dawa
Kisomo cha KHAWAATIM
Na kupaka MRUTURUTU , MAFUTA YA ZAITUNI
Pamoja na MAFUTA YA FIGIRI.
Za kula ni SHOMA KHIMSW na BAKAR HADI
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Asalaam alaykum Sheikh rajabu hali yako? unaweza kuniwekea picha ya dawa ya Mruturutu? nitashukuru ukifanya hivyo asante.
JibuFuta