Alhamisi, 11 Septemba 2014
HERNIA (NGIRI)
HERNIA (ngiri) ni ugonjwa unao wapata Wanaume (scrotal hernia) pia kwa Wanawake ( femoral hernia).
Hernia nyingi huanzia kwenye kuta za tumbo ambapo hushuka kwa pembezon mwa mbavu hadi chini ya kitovu, hizi kuta ni kama mfano wa kuta za tairi ya gari ambapo kunakua na mpira ndani yake ambao mpira huo hua na hewa ili kuzuia tairi kuto kuharibika.
Zipo hernia zinazo shuka mpaka pembezoni mwa kibofu (Groin hernia) Na zipo zinazo shika njia ya mirija ya manii mpaka kwenye makende (Indirect inguinal hernia)
henia hutokea pindi kuta zinapokua dhaifu .
SABABU HUA
2) UMRI
3) KIKOHOZI KIKALI
4) KUDHURIKA KUTOKANA NA UPASUAJI
DAWA
chukua Shubiri kijiko kimoja
Chukua Asali nusu lita
Chukua juice ya Vitunguu Swaumu lita moja
Chukua Siki ya Karafuu robo lita
kisha changanya pamoja utakua unakunywa ujazo wa kikombe kimoja cha kahawa kutwa mara tatu kwa siku 7 hadi 21.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Jazakallah kheyr
JibuFutamchanganyiko huu wa dawa unapatikana wapi tafadhali
JibuFutaTengeneza mwenyewe kama uko Dar nitafute najua hvyo vtu vinapopatikana
FutaTengeneza mwenyewe kama uko Dar nitafute najua hvyo vtu vinapopatikana
Futamkuu ningependa kutoa ushauri kwako kama unazo hizo dawa ungekuwa watengeneza alafu watuuzia kwa gharama nafuu maana wengi wetu tuko busy na baadhi yetu dawa hatuzijui au kama una maduka ya dawa hizi dar au mkoani tujulishe plz tunaomba msaada wako
JibuFutaAhsante sana mkuu
JibuFutaMaoni haya yameondolewa na mwandishi.
FutaSs mimi korodani yangu moja imevimba shida nn
JibuFutaSiki ya karafuu ni ipi hiyo
JibuFuta