JINNI JADI
ni aina ya majini ambayo huleta athari za kiafya na kimaendeleo katika mwili wa mwanadamuila utajuaje kua umeathirika na jini wa aina hii
DALILI ZAKE
- KULALA NA KUOTA UNAZIKWA
- KUOTA MISIBA MARA KWA MARA
- BABU AU BIBI MMOJA WAO ALIKUA MCHAWI NDO MAANA UNASUMBULIWA
- WAGANGA WATASEMA KUA UNA MIZIMI YA KWENU INAKUSUMBUA
- UNAKUA NA CHALE NDOGO NDOGO KWENYE USO AMBAPO HUWEZ KUPONA MPAKA CHALE HIZO ZA WACHAWI KUFUTWA NA KUMUONDOA HUYO JINI
- UKIWA MWENYEWE CHUMBANI UNA HISI KUNA MTU ANAKUFATA NA UNASKIA NYAYO ZIKIKUKARIBIA ILA HUONI MTU UNAPO GEUKA KUANGALIA
- Pesa kupotea katika mazingira ya ajabu [ chuma ulete ]
- kivuli chako kutumika kulogea
- Kua na asili ya uganga wa jadi
- Kufanywa msukule
© tibazakissuna.blogspot.com
ANDIKA BISMILLAHI RAHMAN RAHIM بسم الله الرحمن الرحيم MARA 35
UWEKE CHINI YA MTO WAKATI WA KULALA ITATULIZA TATIZO ILA HUJATIBU TATIZO KUTIBU INABIDI UPATE TIBA.
0 maoni:
Chapisha Maoni