Alhamisi, 20 Novemba 2014

TATIZO LA KUKOSA HEDHI ( AMENORRHEA )





TATIZO LA KUKOSA HEDHI ( AMENORRHEA )


Kuto kupata hedhi kuna pelekea mawazo na mashaka kwa wanawake wengi pindi tatizo hili linapo jiri
Tatizo hili huweza kutokea 

Mapema Mwanzoni ( PRIMARY ) ambapo msichana hua katika umri wa kuvunja ungo (16) ila hapati mabadiliko ya kimaumbile yanayo ambatana na kuvunja ungo PIA anaweza kupata dalili zote za kuvunja ungo kama kuota nywele sehemu za siri na kuota matiti ila bado pia hapati hedhi

Pia linaweza kutokea 

Badae katika Maisha ( SECONDARY ) Ambapo mwanamke hayupo katika hali yoyote ya kumzuia kupata hedhi kama vile ujauzito, kunyonyesha au kutokuwepo katika kipindi cha Menopause yaani yupo chini ya miaka arobaini.

NININI HUSABABISHA KUTOKUPATA HEDHI

> Kupata Hitilafu katika viungo vinavyopelekea mwanamke kupata hedhi ambavyo ni matezi yake ya hypothalamus, pituitary, kizazi (uterus) na kiwanda cha kutengenezea mayai (ovaries)

> Madhara yanayo tokana na matibabu ya kansa

> { functional hypothalamic amenorrhoea } hii ni hali inayo kusanya sababu nyingi za kawaida ambazo ni
> Msongo wa Mawazo  Kupungua mwili  Kuzidisha kati ya kula au mazoezi na pia maradhi

> Kulogwa au Kua na Majini Mahaba

MATIBABU

© tibazakissuna.blogspot.com

Chukua dawa inayo itwa SUFA.
Iwe ya UNGA ujazo ni Robo kilo 

changanya na chumvi ya unga ujazo huo huo.  

Halafu awe anachota kijiko kimoja kidogo na kuweka katika Maziwa ya Moto kikombe kimoja.
Kila siku Asubuhi na Usiku. Mpaka amalize hiyo dawa. 


Lakini kama atakuwa na Jini Mahaba basi damu itafunguka 

http://tibazakissuna.blogspot.com/

0 maoni:

Chapisha Maoni