Pages

Jumamosi, 13 Desemba 2014

JINI AINA JABALI


JINI JABALI


Tunapo muongelea Jini huyu, tunaongelea jini MKOROFI na mwenye vituko vya uhuni sana.
Jini aina ya Jabali ni Jini ambaye huishi  bara na baharini. na huwa anasumbua sana matabibu pale wanapokuwa hawajamgundua kuwa ni jini jabali.
utamjuaje mtu mwenye jini jabali

DALILI ZAKE

 1) humfanya mtu awe KIBRI sana

 2) mtu huwa anapenda sana UKUBWA

 3) humfanya mtu awe na NGUVU YA AJABU kuliko umri wake

 4) mtu huwa ANAJIAMINI sana.

UPANDE WA NDOTO

1) kuota mtu yupo porini anaelekezwa dawa

2) kuota upo mapangoni

3) kuota upo vitani

4) kuota upo katika majabali ndani ya bahari

5) kuota upo milimani.

pia jini huyu huwatia watu hasara kwa kujifanya anataka UGANGA na anunuliwe vifaa vya uganga.
na akiwa ni mahaba utamgundua hivii
mtu hachoki kufanya mapenzi.nk

TIBA YAKE

tibazakissuna.blogspot.com
#chukua

#mafuta ya mchaichai

#mafuta ya figiri

#mafuta ya nyangumi

#mafuta ya ndimu
changanya kisha uwe unapakaa kwa siku 45,

DAWA YA KULA

  • MSUBIANI
  • MJAFARI
  • MWINGWA JINI
  • MJABARI
  • KAMUN AS WAD
tibazakissuna.blogspot.com
kisomo ni HARB.

siku tano hadi saba mfululizo.pia dawa ya kufuta chale ya wanga ni muhimu kwa mgonjwa.
tibazakissuna.blogspot.com

 

Maoni 1 :

  1. kama ni muathiriwa na janga hili, kwa walio Moshi na Arusha tuwasiliani ili tusaidiane
    kwa ajili ya Allah

    JibuFuta