MVI ni nywele ambazo huota kichwani kwa mwanaadamu lakini zikiwa na rangi nyeupe badala ya nyeusi, na nywele hizo huitwa nywele zilizo chakaa,
na nywele hizo huwa ni chukizo kwa mwenyezo iwapo hajafika umri wa miaka 40.
na huangaika sana ili kuondoa mvi hizo.
JINSI YA KUJITIBU
chukua
KITUNGUU SWAUMU , halafu
tibazakissuna.blogspot.com
Uwe unameza kama kidonge kwa maji BILA kukisaga, utameza VITATU kutwa mara tatu kwa muda wa miezi
MITATU mfuatano mpaka
MINNE,
mvi zitakuwa zimeondoka. bi idhni llaah
jazaaka allah kheri sheikh
JibuFutaamin kwetu sote
JibuFutanimemeza si chini ya miez miwili mbn sioni mabadiliko sheikh?
JibuFutaJaribu kumeza vitamin B12 Mara kwa mara @smart ago
JibuFutaNitajaribu mwenyewe nimeshangaa nikaona mvi nywele moja nyeupe kwenye ndevu wakati ndo hata miaka 35 sijafikisha jaman
JibuFutaMbona nmetumia vitamini B12 Lakn sijaona mabadiliko
JibuFutaVitamin B12 ndo vinaitwaje hivyo vidonge
JibuFuta