Jumanne, 6 Januari 2015

TIBA YA BAWASILI {MGORO}





BAWASILI / MGORO { hemorrhoid }

Huu ugonjwa huwa watu huuita kwa majina tofauti, kama  BAWASIRI, MGORO au TUMBO LA MGONGO

Ni mshipa kuvimba katika TUNDU LA HAJA KUBWA huweza kutokea ndani ya tundu au nje ya tundu la haja kubwa au zote kwa pamoja.

pindi mishipa inapo vimba hua inajitengeneza kama vijipu au tumbo kwenye kuta za tundu au mdomon mwa tupu ya nyumahivyo hupelekea maumivu makali na hata utokwaji wa damu pindi mtu anapo fikia hali ya kwenda haja kubwa.

Ugonjwa huu  hupelekea kupata ugumba au kupoteza maisha kama hautawah kupata tiba na bahat mbaya hospitali hazitibu zaidi ni operation na mzizi wa tatizo hauja ondolewa

© tibazakissuna.blogspot.com

SABABU ZA TATIZO HILI 

© tibazakissuna.blogspot.com

>>   Kupata mgandamizo / kujikamua sana wakati wa haja kubwa

 >>  kua na uzito wa mwili ulio kithiri

 >> kuwashwa sehemu za tupu za nyuma

 >> wanawake wajawazito katika mienzi sita ya ujauzito wanaweza kupata ugonjwa huu kwakua kuna ongezeko la uzito na msukumo wa mishipa haswa sehemu za kiunoni

 >> kukaa muda mrefu chooni huku ukiwa unajikamua kutoa haja kubwa au ndogo

© tibazakissuna.blogspot.com

 
 TIBA YAKE

1) HABAT SAUDA YA UNGA  kiasi cha kikombe cha KAHAWA kisha weka katika MAZIWA YA MOTO kikombe kimoja au chemsha kwa maji kikombe kimoja, lakini maziwa ni bora sana kuyapata, halafu kunywa mara mbili kwa siku

2) WAKATI UNAENDELEA NA DOZI HII UTACHUKUA

  • MAFUTA YA HABAT SAUDA 


  • MAFUTA YA NYONYO 
tibazakissuna.blogspot.com
  • MAFUTA YA ZAITUNI  
© tibazakissuna.blogspot.com
 
ujazo sawa kila moja iwe ml 100
kisha utakuwa unapaka nyuma huku ukirudisha lile nyama
utatumia kwa siku 13 hata kama nyama litakuwa limesha rudi lakini utaendelea kupaka mafuta hayo.tibazakissuna.blogspot.com
Allah ndiye mponyaji
 © tibazakissuna.blogspot.com


3 maoni: