Kama unasibiwa na maradhi aina hii yenye kuhamahama na kukosa kujua suluhisho,
hali umeenda hospital na kukosa kujua nini suluhisho, basi inakubidi umkubali Mtume Muhammad (s.a.w) kwa sababu yeye amefundisha jinsi ya kuondoa maradhi aina hii yenye kutesa na kusumbua watu, na kupata mateso mengi.
SULUHISHO KWA JANGA HILO TUMIA DAWA ZIFUATAZO :
© tibazakissuna.blogspot.com
1) MDAULA
2) MJAAFARI
© tibazakissuna.blogspot.com
3) MVUNJA HOMA
4) MAJANI YA MDHAMBARAU
kisha changanya pamoja na kusaga ziwe unga,halafu mgonjwa atachota ujazo wa kijiko kikubwa na kuweka katika uji kisha anywe mara tatu kwa siku.
siku 21
pia awe akipakaa na kuchua ZAYT SHIFAA
© tibazakissuna.blogspot.com
0 maoni:
Chapisha Maoni