UNYWAJI CHAI na kufuatisha MAJI BARIDI sana ni hatari kwa kusababisha tatizo la MAPAFU.
© tibazakissuna.blogspot.com
KUNYWA MAJI MENGI katikati ya KULA ni hatari gastric peristalsis ambapo huwezi kusababisha kusinyaa kwa utumbo mpana na kusababisha UKOSEFU WA CHOO.
NDIZI NA MAZIWA huleta uzito katika mwili na kusababisha sumu ambayo hupelekea akili kua dhaifu katika utendaji
© tibazakissuna.blogspot.com
FIGILI NA NYAMA YA SUNGURA unapoteza nywele
WANAUME kulala KIFUDIFUDI baada ya JIMAI ni hatari kwani hukandamiza misuli na kuweza kusababisha upungufu wa NGUVU ZA KIUME
Wakati kulala ubavu wa shoto husababisha maradhi ya MLIPUKO WA MOYO
© tibazakissuna.blogspot.com
FIGILI NA NYAMA YA KUKU ukipika pamoja unapoteza nguvu kabisa katika maisha yako
Haya ni maradhi ya KIZEMBE kwa sababu yatakusababishia gharama kutibu hali hukuwa na sababu ya kupoteza gharama. ..
© tibazakissuna.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni