UCHAWI WA TIWALA ( LIMBWATA )
Ni moja katika aina 410 za uchawi. Na uchawi huu upo aina 4. Leo tutaongelea aina ya 2.
Ni moja katika aina 410 za uchawi. Na uchawi huu upo aina 4. Leo tutaongelea aina ya 2.
LIMBWATA KWA MWANAMKE
1) mwanamke atakuwa na maumivu makali katika kinena.
2) atakuwa akiumia sana akifanya jimai
3) pia anaweza kuonekana kama ana uvimbe katika uzazi
4) maumivu yenye kufanana na chango.
5)kutokusikia lolote zaid ya alilo ambiwa na MUMEWE
LIMBWATA KWA MWANAUME.
1) atakuwa anaishiwa nguvu katika jimai
2) anakatikiwa nguvu mara kwa mara wakati wa jimai
3) kama ana wake wawili basi kwa mmoja anakuwa hawezi.
4) kuwa na nguvu wakati anajiandaa lakini akiwa mchezoni anatepeta

5) KUTOKUSKILIZA LOLOTE ANALO AMBIWA
NA MTU HATA YASIYO MEMA AU YANAYO MLETEA MATESO ILA YEYE HUTII IKIWA TU
LITATOKA KWA MKEWE
6) kuikumbatia fa,ilia ya mkewe na
kusahau kuihudumia ndugu zake ikiwa pamoja na wazazi wake
© tibazakissuna.blogspot.com
DAWA YA LIMBWATA
Chukua ASALI halisi ya nyuki, ile ya masika na si asali ya kiangazi kisha ule asali ujazo wa kikombe cha kahawa kutwa mara mbili, asubuhi kabla ya kula na usiku baada ya kula, kwa siku 19, huku ukipakaa zayt Shifaa mwilini asubuhi na usiku kwa siku 19.
Na kama una shindwa kufanya jimai kwa mke mmoja na kuweza kwa mwingine, kula asali vijiko vitatu ukichanganya na zayt Shifaa kijiko kimoja kikubwa. Kutwa mara mbili asubuhi na usiku kwa siku 27, utarudia ubora wa miaka 25.

asalam aleikum,nina swali vipi unaweza kumsaidia mtu aliyelishwa limbwata ambae hasikilizi chochote isipokua analoambiwa na aliyemlisha limbwata? mtu ambae hata nyumbani kwake hali vipi unaweza kumsaidia
JibuFutaAah pole dada zai hapa tunakutn na watk mgmu kumsaidia mtu..zai nakushaur nenda kwa wazazi wko au babu yk mzaa mm au baba.ndio wana marengo mazr ...
JibuFutaWanawez kuondoa tatz ulilo nalo masha llah...