Pages

Jumamosi, 7 Mei 2016

MAPELE BAADA YA KUNYOA



KWANINI TUNATOKEWA NA MAPELE BAADA YA KUNYOA

tutajiuliza kwanza swali hili ivi ni kwanin watu kama wazungu waarabu na watu wa asia mara nying hawapati tatizo hili la mapele au vidonda baada ya kunyoa
ukichunguza utagundua ya kua sisi nywele zetu ni zenye kuji sokota au kujinyongorota
hivyo unapo nyoa na kukata mzizi wa nywele kabisa una jiweka katika hatar ya kupata mapeli

SABABU

 Bahat mbaya hakuna alie wah kutufundisha namna ya kunyoa ndo maana utakuta mtu haoshi uso wala kichwa kwa maji ya moto KABLA YA KUNYOA kwa ajili ya kuua bacteria waliopo kwenye uso na kwenye kichwa ambapo mtu huyo akisha nyolewa bacteria hao huingia kwenye matundu hayo
ndo maana ukiwachunguza wazee wanao nyoa na viwembe hawana mapele maana wana jisafisha kabla ya kunyoa

Sasa Matundu hayo yanapo ingia bacteria huziba na pia ukinyoa nywele zote kwenye ngozi kumbuka nywele zetu ni za kujisokota hivyo nywele hujisokotea ndan kwa ndan ( ingrowing ) na huleta muwasho na uvimbe 

sasa kwanin wale walio chonga nyuma hupata mapele mwisho wa siku 

sababu ni kwamba ukisha nyoa ukapata vidonda ngozi hutoa (collagen) hii ni kwa ajili ya kurepair ngozi iliyo aribika hivyo unapo LINYOA tena lile jeraha unatengeneza hali ya ngozi kuvimbiana na kutengeneza kama uvimbe ( keloid scarring ) wa mfano wa alie katwa na wembe na ngozi yake ikipona hua ni yenye uvimbe maana ngozi hujirepair kama nilivyosema hapo awali 
 
 https://www.tibazakissuna.blogspot.com

USHAURI

Unapo taka kunyoa ziwe ni nywele za chumban, kikwapan au popote hakikisha una jisafisha kwa maji ya moto kuondoa bacteria na kulainisha ngozi

asubuh unapo nawa uso hakikisha maji hayabaki kwenye kidevu maana nadhan kila mtu anajua mikono yake USIKU hujisika wapi hivyo unapo osha uso hakikisha maji yanatiririka yote chini kuondoa bacteria

Nyoa nywele kwa muelekeo wa nywele zako ili usizikate nywele zote kwan utafanya nywele kuto kutoka kwenye ngozi

 https://www.tibazakissuna.blogspot.com

kuna aina ya mafuta husaidia sana kulainisha na kusimamisha nywele unapakaa kabla hujanyoa na baada ya kunyoa ukipakaa huondosha msuguano unao pelekea mzizi wa nywele kunyolewa na pia huondoa mauvimbe tuliyo yaongelea ila kwakua hatutoag sadaka kwa mtoa post sinta taja
 https://www.tibazakissuna.blogspot.com

Maoni 1 :

  1. Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili zote ..anazo dawa za nguvu za kiume na dawa za kurefusha na kunenepesha uume ..mtafute kupitia 0764839091

    JibuFuta