KILA mwenzi kizazi hutengeneza mfano wa ukuta ( lining ) ikiwa ni maandalizi ya mimba ikiwa mbegu ya kiume itakutana na yai, Hivyo kama hakuna mbegu ilio kutana na yai kinacho jiri ni ukuta huo hutanuka na mwisho wa siku huvunjika na kutoka kama moja ya damu ya hedhi
hivyo ukuta huo unapo vunjika prostaglandins hutoka pindi homoni hii inapo toka kizazi hujiminya kama reaction kwa kutoka kwa homoni iyo
hivyo inaaminika kua homoni hio hua chanzo cha maumivu ya hedhi
https://www.tibazakissuna.blogspot.com
na maumivu huzidia pindi mabonge ya damu yanapotoka na kugusa mdomo wa kizazi ambao bado haujatanuka na kupelekea maumivukua makali
hivyo ukiuliza kwanin wengi wa walio jifungua hawana maumivu utakua umepata jibu hapo juu
HIVYO
MAUMIVU ya Tumbo wakati wa hedhi (menstrual pains) au kitaalamu dismenorrhea, ni maumivu yanayojitokeza sehemu ya chini ya kitovu au kiunoni kabla au baada yakupata siku.
https://www.tibazakissuna.blogspot.com
KUNA AINA MBILI YA MAUMIVU
AINA YA KWANZA (Primary dysmenorrhea) maumivu yake hua ni chini ya kitovu na nyuma kwenye mgongona sababu yake kitaalamu haijulikani
AINA YA PILI (Secondary dysmenorrhea) ni husababishwa na magonjwa yanayo julikana na kupelekea chanzo cha maumivu mfano wa magonjwa hayo ni uvimbe wa kizazi,magonjwa kama pid na endometriosis
https://www.tibazakissuna.blogspot.com
USHAURI UNAO WEZA SAIDIA
ogea na jikande na maji ya moto
Punguza mawazo na penda mazoez
kula chocolate
kunywa maji ya uvuguvugu kwa wingi
TIBA
https://www.tibazakissuna.blogspot.com
NUNUA DAWA INAITWA KALKARIYAT
CHEMSHA NA KUNYWA KIKOMBE KIMOJA KUTWA MARA MBILI SIKU MBILI
Dr kanyas mtaalamu wa tiba asili anazo dawa kwa ajili ya nguvu za kiume ..ugumba....maumivu makali makali wakat wa hedhi...pia anazo dawa za kurefusha na kunenepesha uume mtafute kupitia 0764839091..dawa zake ni za kisuna na asili
JibuFuta