KISUKARI ( diabetes mellitus )
Pindi mwanadamu anapokula chakula huvunjwa vunjwa na moja ya matokeo ni mwili kupata SUKARI (GLUCOSE) ambayo kazi yake ni kuzipa nishati chembe za mwili (ubongo,misuli chembe chembe damu nyekundu )
tibazakissuna.blogspot.com
sasa kongosho (pancreas) kwenye chembe ya beta cell huzalisha homon inaitwa INSULIN ambayo hii kaz yake ni unapo kula kiwango cha sukar huweza kupanda na kongosho hutoa kiashirio kwa beta cell kutoa insulin katika mfumo wa damu na kuzi taarifu chembe kunyonya sukar hitajiyo ili itumike kama nguvu.
KUNA AINA MBILI ZA KISUKARI
tibazakissuna.blogspot.com
tibazakissuna.blogspot.com
KISUKARI AINA YA KWANZA husababishwa na kutokuwepo kwa insulin kwa sababu beta cell zime athirika au hazifanyi kazi ipasavyo
KISUKARI YA AINA YA PILI watu wa aina hii ni kwamba kongosho yao haizalishi kiwango kidhi cha kuweza kudhibit wingi kiwango cha sukari kwenye damu (hyperglycaemia) au ni upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.
DALILI ZA KISUKARI
A) kukojoa mara kwa mara kupita kiasi cha kawaida hasa usiku
B) kusikia kiu sana
C) kujiskia kuchoka hasaa
D) kuwashwa sana sehemu za uume au ukeni
E) kupoteza uzitowa mwili kwa muda mfupi
F) kuchelewa sana kupona vidonda au mikato ima michubuko
G) kuto kuona vyema
H) kupoteza au kuto kusimamisha vyema uume na kwa mwanamke pia kukosa ham ya tendo
tibazakissuna.blogspot.com
USHAURI
kisukari aina ya pili ukianza kuona dalili na kuwa mwenye kufanya mazoez ni rahisi kujitibu
fanya mazoez na punguza vyakula vyeupe, chips, vitu vitam,pombe,nyama nyekundu na kula mboga za majan kwa wingi kula taratibu ungate vyakula ipasavyo kama MTUME MUHAMMAD rehema na aman ziwe juu yake ANAVYO SHAURI ule ukiwa na njaa na usile ukashiba.
tibazakissuna.blogspot.com
tibazakissuna.blogspot.com
vijiko viwili vya unga wa mdalasin
kijiko kimoja cha unga wa uwatu
kijiko kimoja cha unga wa habat sauda
changanya kwenye kikombe kimoja cha maji ya moto
kunywa mara mbili kwa siku ndan ya masiku 21
kwa tiba zaidi tuwasiliane
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni