MAJINI AINA YA GHUULI
Naam, naona leo
tunaingia bahari yenye kina kikubwa sana katika kumuongelea jini huyu.
Ghuuli
ni aina ya jini ambaye yupo katika aina zile 660 za majini, lakini jini huyu
huwa ni jini mkorofi sana na mwenye hila na ni hatari sana katika maisha ya
binaadam.
Huyu jini Ghuuli yeye hushirikiana vema na ndiye Mwalimu wa wachawi
wote duniani. ولاكن
ااشيطين
كفرو
يعلمون
الناس
سحرا
Ghuuli unampata katika aya hii 2:202 suurat Baqara
Hivyo majini hawa ndiyo wale
wenye tabia ya kujigeuza nyoka au paka mweusi, na ndiyo pale unaweza kuona
nyoka na akatoweka usijue kaenda wapi, au ukakutana na paka na kukuvimbia
njiani au kukuzuia njia na ukashindwa la kufanya mpaka mwili unakusisimka na
kuweka vipele vya baridi kwa kukutana na paka mweusi.
Ima paka hawa wanaweza
kuja kukulilia dirishani kisha unapata maradhi ima kuharibikiwa.
tibazakissuna.blogspot.com
Ghuuli pindi anapo kudhuru huwa ana shirikiana vema
sana na wachawi aina zote ili kuhakikisha hauponi ima afanye maradhi kutokana
na mchawi aliye funga naye mkataba Kumbuka kuwa Ghuuli anadhuru kwa madhara
mengi sana
1 Chuma ulete Utakuta mtu anakuwa anapotelewa na Mali bila
kujulikana zilipo potelea.pesa kutojulkikana zinapo enda,biashara inafanyika
faida haionekani, pesa Kwisha bila matumizi
2 Mimba kuibiwa Mtu ana beba mimba
na kisha inapo karibia kujifungua mimba haionekani vipimo havioneshi ujauzito
3
Misukule Mtu kufa kiini macho, na kisha akawa anaonekana mitaani ima mashambani
au sehemu Fulani
4 mtu kuugua muda mrefu na kukakamaa vifungo kama strock au
maradhi ya baridi
5 kuwa na mihuri ya kichawi, hili lirejee katika Ile mada
yetu ya jinsi ya kufuta chale za Wanga
tibazakissuna.blogspot.com
DALILI ZA MWENYE JINI GHUULI
Mtu mwenye jini Ghuuli huwa ana dalili zifuatazo
1 kuota
unasafiri safiri
2 kuota upo kwenye vikao katika maeneo yasiyo ofisi
3 kuota
unapika pika kwenye mashughuli
4 kuota unabeba mizigo isiyoeleweka
5 kuota
unafukua makaburi au kuzika
6 ndoto zihusuzo misiba
7 kuwa na ganzi wakati wa
tendo la ndoa
8 kupotelewa na vitu kwa mazingira staajabisha
9 kuharibu mimba
ya miezi 8-9
10 kuwa na kawaida kujifungua watoto walio kufia tumboni
11 kuto
shika mimba kabisaaaaaa,yani ugumba na utasa
12 mwanaume kuto kukomaa kwa mbegu
za uzazi
13 kuumwa ugonjwa wenye kujirudia rudia bila sababu za kidaktari
14
kuumwa muda mrefu na kuto julikana maradhi katika vipimo
tibazakissuna.blogspot.com
Hawa ndiyo Ghuuli na hizi ni habari kwa ufupi.
Kwani
hawa ndiyo majini wenye kuingiza watu uchawini, Chuma ulete na kuwafanya watu
kuwa Misukule Msaada zaid wasiliana
+255784638989
+255713826838
+255758711111
الشيج
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni