Pages

Ijumaa, 28 Oktoba 2016

KUKWAMA KIBIASHARA KILA UPATAPO MAFANIKIO



MBONA BIASHARA ILIANZA VIZURI, KWANINI IKWAME GHAFLA????

Ukiongelea suala la kukwama biashara, au kudhorota kwa mauzo, ni suala lipo sana kwa wafanya biashara. Lakini tatizo na chanzo huwa ni nini????


 tibazakissuna.blogspot.com
  
1Kuna mtu anafanya biashara, au kazi hali ya kuwa buruji yake (nyota) si ya biashara au kazi anayo Fanya, ataishia kuanza vizuri kisha kuboronga mpaka asifikie malengo

2. JINI MAHABA (ASHK L JINNI) UMMU SUBIAN

 
ukiwa na huyo mpuuzi, basi itakuwa unafanya mipango na ikikaribia mafanikio linatokea janga au tatizo la kurudisha nyuma mipango, biashara inaanza vizuri ikitaka kuchanganya inatokea hasara na kufanya uchukue kaakiba ndani ili uanze upya, hupandi mtaji ila kutwa kuhitajia msada. Kama ni kazi unafanya kazi ili mradi tu, lakini faida hasa ya kazi haionekani ila mfanya kazi jina.

 
tibazakissuna.blogspot.com


3. KUCHUKULIWA NYOTA,


 mtu aliye fanyiwa hivyo, ataanza biashara vizuri ila ikichanganya na akajulikana kwa sifa nzuri ya kile anachouza, basi ghafla ataanza kuogopa kwenda sehemu yake ya biashara, akiwa sehemu ya biashara abatamani kukimbia au kupiga kelele na kukosa amani. IMA kupatwa ugonjwa Mkubwa utakao mfilisi na kufanya asiendelee tena na biashara.ikibidi kupatwa na ugonjwa wa akili.

4. HUSUDA YA BIASHARA

 
Aliye fanyiwa husda katika biashara, ni yule biashara ilianza vizuri ila ghafla inaanza kudoda na mauzo kukata kiasi kwamba mpaka vitu vinaanza kuharibika bila kupata wanunuzi. Inakuwa akiuza anapata hela ya kula tuuuuu, mpaka anafilisika.
Ima ahamishe biashara.  


tibazakissuna.blogspot.com

Unawezaje kurejesha mvuto na biashara iweze kuwa kama awali?
Visomo vya Fathu na dawa zake za kuoga na kujifukiza ima kupakaa vinahitajika.
+255 713 826 838

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni