MAWE KATIKA FIGO
mara nying tumekua tukishauriwa kunywa maji kwa siku isipungue vikombe nane mpaka kumi kwa ila sio mfululizo maana kunywa maji mfululizo ni kutoa madini mwili
Pindi figo linapo chuja uchafu kutoka kwenye damu na kubalansi maji unapatikana mkojo sasa mkojo unapo kua na asid sana (uric acid) inachanganyikana na chumvi na madini mengine ( crystalline mineral ) hutengeneza vijiwe kwenye njia ya mkojo au ndani
© tibazakissuna.blogspot.com
vinaweza kua vidogo sana kama punje za sukari kias zikipita kwenye njia ya mkojo mtu hawezi jua ILA pia zinaweza kua kubwa na hapo ndo hua tatizo haswa likianza kupita kwenye njia ya mkojo
© tibazakissuna.blogspot.com
DALILI ZA TATIZO
>> KUPATA MAUMIVU MWISHO WA TUMBO MWANZO WA PAJA
>> KUPATA MKOJO WA DAMU
© tibazakissuna.blogspot.com
>> KUPATA MUWASHO UNAPO MALIZA KUKOJOA
>> HALI YA KUHISI HAM YA KUKOJOA JAPO HUKOJOI
>> KICHEFU CHEFU NA KUTAPIKA
TIBA YAKE
MAFUTA YA ZAITUNI VIJIKO VINNE
MAJI YA LIMAO VIJIKO VINNE
CHANGANYA TUMIA KUTWA MARA MBILI
© tibazakissuna.blogspot.com
KUMBUKA CHANZO CHA TATIZO NI KUTO KUNYWA MAJI HIVYO UKINYWA MAJI KUNA NAFAS KUBWA YA KUPONA GONJWA HILI AU KUTO KULIPATA KABISA
ALLAH MJUZ ZAIDI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni