Alhamisi, 13 Aprili 2017

MAWE KATIKA FIGO



MAWE KATIKA FIGO

mara nying tumekua tukishauriwa kunywa maji kwa siku isipungue vikombe nane mpaka kumi kwa ila sio mfululizo maana kunywa maji mfululizo ni kutoa madini mwili

 Pindi figo linapo chuja uchafu kutoka kwenye damu na kubalansi maji unapatikana mkojo sasa mkojo unapo kua na asid sana (uric acid) inachanganyikana na chumvi na madini mengine  ( crystalline mineral ) hutengeneza vijiwe kwenye njia ya mkojo au ndani 

© tibazakissuna.blogspot.com

vinaweza kua vidogo sana kama punje za sukari kias zikipita kwenye njia ya mkojo mtu hawezi jua ILA pia zinaweza kua kubwa na hapo ndo hua tatizo haswa likianza kupita kwenye njia ya mkojo

© tibazakissuna.blogspot.com

DALILI ZA TATIZO

>> KUPATA MAUMIVU MWISHO WA TUMBO MWANZO WA PAJA

>> KUPATA MKOJO WA DAMU

© tibazakissuna.blogspot.com

>> KUPATA MUWASHO UNAPO MALIZA KUKOJOA

>> HALI YA KUHISI HAM YA KUKOJOA JAPO HUKOJOI

>> KICHEFU CHEFU NA KUTAPIKA

TIBA YAKE

MAFUTA YA ZAITUNI VIJIKO VINNE

MAJI YA LIMAO VIJIKO VINNE

 CHANGANYA TUMIA KUTWA MARA MBILI

© tibazakissuna.blogspot.com

KUMBUKA CHANZO CHA TATIZO NI KUTO KUNYWA MAJI HIVYO UKINYWA MAJI KUNA NAFAS KUBWA YA KUPONA GONJWA HILI AU KUTO KULIPATA KABISA
ALLAH MJUZ ZAIDI

0 maoni:

Chapisha Maoni