UKE KUTOA SAUTI
Kwa mwanamke ambae ameshawah kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gan hua anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na jimai
SASA TATIZO SIO KUSKIKA KWA SAUT HUYO ILA NI MUME KUTO KUJUA NI NN HALI HIYO JE NI UGONJWA TATIZO AU NI JAMBO LA KAWAIDA AKISHA JUA HILI HATA WEZA KUMCHEKA MWANAMKE NA KUMUONA WA AJABU KIMAUMBILE
© tibazakissuna.blogspot.com
KWANINI UKE HUTOA SAUTI
Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye jimai kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi
© tibazakissuna.blogspot.com
IKIWA IMETOKEA WAKATI WA JIMAI
nilisha sema kua uke na uume hua mfano wa sindano za hospital ( injection ) unapo vuta hutoa fyonza hewa ilio ingia ndan au hufyonza dawa ulio iweka kwenye kichupa kitendo hiki hakina tofaut na uume kuiingia kwenye uke na kutoa
kuna mikao ambapo hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka ima kuingia huiminya hewa hiyo na hapo hutoa mlio
ukiangalia kwa makini ni kama vile koromeo likipitisha jesi/hewa hutoa mlio sawa sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama ushuzi lakin sio hivyo ikiwa utatafakari
© tibazakissuna.blogspot.com
SABABU ZA UKE KUTOA MLIO
UREFU WA UKE kutoka katika kizaz japo sio wote
UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH) unaweza kua na uume mrefu na bahat mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza
WATU WALIO JIFUNGUA japo sio wote
KUTANUA UKE kupita kias chake haswa katika mikao
© tibazakissuna.blogspot.com
NINI CHA KUFANYA
ANGALIA MIKAO YA KUFANYA AMBAYO HAITA RUHUSU HEWA KUINGIA NDANI
TUMIA MAJI YA BARIDI KUJISAFISHIA UKE KILA UNAPO MALIZA RAUNDI KATIKA JIMAI AU KUJISAFISHA IMA UKIWA UMETOKA CHOONI AU ASUBUHI
FANYA MAZOEZI YA KEGEL yana faida nying sana na nimeshaelezea sana kwenye group la ilinde ndoa yako
© tibazakissuna.blogspot.com
Kutana na mtaalamu wa mitishamba toka tanga anatibu ugumba uzazi nguvu za kiume kukuza uume na kunenepesha uume kukuza hips shape na makalio. .kubana uke. .kuondoa vitambi. Kuondoa harufu mbaya na maji ukeni. .matatizo ya hedhi. .mpigie dr kanyas kupitia 0744903557 tanga
JibuFutaMimi nauliza hilo zoezi la kegel
JibuFutaunalifanya aje
Muda wowote ukiwa umekaa au wakati wa kukojoa mwanamke abane na kuachia mkojo asikojoe mfululizo,namda wowote akiwa amekaa awe anabana uke hta kwakuhesabu moja mpk kumi anaachiaa
FutaMadina
FutaAnastella
FutaSasa kama bado u mwari hujawah kuolewa wala hushiriki mambo ya jimai af tatizo hilo unalo shida inakua nn
JibuFutaAnastella
FutaMimi sijazaa ila hicho kitu kinanitokea Sana ukweli amani nakoswa
JibuFutaMm sikuwa natatizo apokabla lakinitokanimejifunguwa nimepatwa natatizoilo nifanyeje mpakaniwesawa nakerekwa kweli
JibuFuta