Jumatatu, 7 Julai 2014

TIBA KWA ASIYE SHIKA UJAUZITO





WENGI HUTESEKA KWA KUKOSA UJAUZITO  HUANGAIKA KUPIMA NA VIPIMO KUONYESHA KUA HAWANA TATIZO LOLOTE KATIKA UZAZI 

LAKINI SAA ZINGINE HUA SABABU NI KIZAZI KUA MBALI AU HORMONAL IMBALANCE (HOMONI KUTOKUA SAWA)
WENGI WAMEPATA UJAUZITO KWA KUTUMIA DAWA HIZI

 MATUMIZI KWA HOMONI:




©tibazakissuna.blogspot.com
 
MBEGU ZA HALIDALI ZILIZO TWANGWA TWANGWA 100 GRAMS

ASALI ORIGINAL 25 CENTILITRE

UTAZICHANGANYA NA KUZIACHA KWA MASAA 24 

NDANI YA SIKU YA PILI UTACHANGANYA ULE MCHANGANYIKO WA ASALI NA MBEGU ZA HALIDALI NA MAFUTA YA ZAITUNI UTAACHA  IJICHANGANYE TENA KWA MASAA 24 

KISHA UTAKUWA UNA KUNYWA VIJIKO VITATU ASUBUHI KABLA YA CHOCHOTE NA USIKU VIJIKO VITATU PINDI UNAPO TAKA KULALA NDANI YA MIENZI SITA WENGI WAMEONA MATOKEO NDANI YA MIENZI 3

 NA KAMA NI KIZAZI KUA MBALI 

BASI ATUMIE MUJJARABU KATIKA UJI WA DONA KUSOGEZA KIZAZI

 

3 maoni:

  1. hi je kama kizazi kimekaa upande tiba yake

    JibuFuta
  2. Asante sana kwa ushauri na tiba je MUJJARABU jina jingine ni lipi au kwa kingereza ni jina gani Tafadhari na MBEGU ZA HALIDALI jina linguine tadhali asante sana.

    JibuFuta
  3. Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

    Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

    Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

    Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

    Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

    Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
    dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta