KWANIN UUMWE HUKU UNANENEPA ??
Uchawi uitwao Ghaasiq huu ni uchawi miongoni mwa aina 410 za uchawi zilizopo duniani. Na uchawi huu ukikufika unaweza kupata shida sina kwa sababu unashikiliwa na mjini aina mbili.
1) Zawaabil
2) Swaariu majini
hawa pia hushika uchawi aina ya Naafith.
ila leo tuangalie ghaasiq ambao umetajwa pia katika SUURAT L FALAQ Wamin sharri ghaasiqin idhaa waqaba.
uchawi huu mara nyingi hukaa katika INI na mtu mwili hushindwa kufanya detoxification hivyo husababisha hali ya mwili kuvimba pamoja na ganzi pia hupanda hadi moyoni na mtu kuwa na hali kama cholesterol
kisha ugonjwa huu humfanya mtu kuwa ngozi yenye vipele vingi visivyo sikia dawa pamoja na kuharibika kwa ngozi kama mtu mwenye fangas au ugonjwa wa zinaa. na ukumbuke ugonjwa wa fangas HUAMBUKIZA lakini mwenye sihri hii huwa fangas zake haziambukizi kwa mwenza wake.
uchawi huu ukiwa nao huwa haonekani ugonjwa hospitali. ndipo madaktar huweza kutumia kuhisi na kukupa midonge bila mpangilio mwishowe ukaua ini au kongosho ukapata uti sugu au sukari. hapo ndipo ugonjwa huja kuonekana dakika za majeruhi na wauguzi kujiona wazembe au kutukana madaktari.
utajuaje kama jini akusumbuaye ni Swaariu ili uujue uchawi wa ghaasiq?
rejea blog yetu ya tibazakissuna.blogspot.com tiba yake nini?
watu hudhani kama vile kutibia maradhi ya kichawi ni kitu chepesi. hapana ni kazi ngumu na huweza kugharimu pesa nyingi sana.
TIBA YAKE
ufanyiwe visomo vya Muhlikaat ambapo wanye kazi yao wanavijua na kama huvijui mfate anaye jua.
pili upate
1 rawandi
2 msigi
3 mwingwa jini
4 mfulet
5 msharifu
6 haijal
7 faijal
changanya zote hali ni unga na uzingatie wengi huuziwa MKUMBI badala ya mwingwa jini. uwe makini kunywa siku zote utakazo fanyiwa kisomo mpaka siku ya 19 utakuwa umepona in shaa Allah
tibazakissuna.blogspot.com
0 maoni:
Chapisha Maoni