LEO KWA UCHACHE TUTAANGALIA FANGAS ZA SEHEMU ZA SIRI AMBAPO KILA MMOJA KATIKA MAISHA YETU HUENDA AMESHAWAHI KUPISHANA NA UGONJWA HUU
baadhi ya madawa, kushuka kwa kinga ya mwili kuwa na ujauzito,kula vyakula vya sukari na mengine.
KWA WANAUME
kwa wanaume sio mara nying sana huwakumba ugonjwa huu ikumbukwe kwamba fangas hupenda sana mazingira ya joto na unyevunyevu hivyo kwa mwanaume alie kwenda SUNNAH( KUTAIRIWA ) uume wake hupata upepo na kupelekea ukavu tofauti na ambao hawajaenda sunnah ile ngozi huifadhi unyevunyevu na joto na kusababisha fangas wa ngozi
hata hivyo fangasi pia huweza ingia kwa mfumo wa njia ya mkojo na mara chache sana kuingia mpaka kwenye kende mbili na huleta madhara
utajua upo kwenye shida pale unapo kojoa na kuona hali ya muwasho kama wa wanawake wenye fangasi.
KWA MWANAMKE
Tatizo hili ni sugu sana kwa wanawake wengi ila sio rahisi kwa wao kusema
kama nilivyosema yeast huwepo kwenye uke ila tatizo ni pale wanapo kua kwa wingi na lactobacillus bacteria kushindwa kuwa control ambapo huleta tatizo
japo na hivyo wapo fangas ambao huletwa kwa maambukizi ya jimai na na uchafu hawa kutibiwa husumbua maana kuna ambao huingia mpaka kwenye damu na wengine hua nje ya mwili ni aina tofauti.
tibazakissuna.blogspot.com
DALILI ZA UGONJWA
KUWASHWA SANA SEHEMU ZA SIRI
KUTOKWA NA MAJI MAJI MAZITO KAMA MAZIWA AU MAJI MEPESI YA RANGI NYEUPE AU BROWN NA MARA NYINGI HUA NA HARUFU
KUVIMBA UKE
KUSKIA MAUMIVU KWA MWANAMKE HASWA AKIINGILIWA
tibazakissuna.blogspot.com
USHAURI
(( A )) HAKIKISHA UNAVAA NGUO ZENYE MATERIAL YA PAMBA ILI KUKAUSHA MAJI MAJI YA JASHO
(( B )) NYOA NYWELE SEHEMU ZA SIRI KUZIACHA NYWELE HUPELEKEA KUKAA KWA MAJI MAJI NA UKIVAA NGUO HULETA JOTO JOTO NA FANGAS HUJITENGENEZA
(( C )) PASI AU ANIKA NGUO ZAKO KWENYE JUA NA OSHA NGUO ZA NDAN KWA MAJI YA MOTO
(( D )) KUNYWA MAZIWA YA MGANDO MARA KWA MARA
(( E )) USIKALIE KANGA/TAULO MBICHI UKIWA UMETOKA KUOGA
(( F )) ANGALIA KUNA BAADHI YA WANAWAKE WANAUME ZAO WAKITUMIA MIPIRA( CONDOM ) WAO HUPATA MADHARA YA FANGAS NA MATATIZO MENGINE
(( G )) ANGALIA PEDI UNAYO TUMIA HUENDA HUENDANI NAYO KUNA MTU ALITUMIA DAWA ZOTE LAKIN NILIPO MWAMBIA ABADILISHE PEDI YA AINA ANAYO TUMIA KAPONA
tibazakissuna.blogspot.com
}} FANGASI ZA UCHAWI
HUWASHA NA KUPASUA PASUA NGOZI HASWA PALE UNAPO PAKUNA
UTAHISI VITU KUTEMBEA TEMBEA KWENYE NGOZI HIYO
>> MSAADA WA KWANZA
tibazakissuna.blogspot.com
TUMIA MAFUTA YA NAZI CHANGANYA NA MAFUTA YA HABAT SAUDA KUPAKAA SEHEMU ZILIZO ATHIRIKA NA PIA WAKATI WA JIMAI
MSAADA WA PILI NI BORA TUONANE UPATE TIBA KAMILI IKIWA NI PAMOJA NA KUTUMIA DAWA INAYO TIBU FANGASI YA MWILINI NA AMBAYO IMESABABISHWA NA UCHAWI.
0 maoni:
Chapisha Maoni