KUTO KUNYWA MAJI
Inategemeana na umri ila kwa kawaida mtu hua na asiliamia 50 mpaka 75 ya kiwango cha maji mwili
na kwa mtoto mdogo hupanda 75 mpaka 78
MADHARA GAN HUMPATA ASIE KUNYWA MAJI KWA KIWANGO HUSIKA
tibazakissuna.blogspot.com
KUCHOKA SANA
maji ndo hufanya mmengenyo wa chakula kufanyika kwa wepes ila yakikosekana mmengenyo hucukua mda sana na kufanya mwili kuchoka sana na kukosa nguvu
tibazakissuna.blogspot.com
KUNENEPA
ulishawah skia njaa akat umekula mda sio mrefu ukahis ni njaa ya tumbo kumbe ni sell za mwili hazina nguvu hivyo zina toa viashiri vya kuhitaji maji ili mmengenyo ufanye kaz na sell zipate nguvu ila mtu anazidisha kula chakula na mwisho hujikuta mwil una ongezeka
PRESHA YA KUPANDA
damu ina asilimia 92 ya maji sasa maji yanapo kosekana yanafanya damu kua nzito na kusababisha msukumo wa damu kua juu zaid na moyo kufanya kaz mara mbili na kupelekea presha ya kupanda
CHOLESTEROL KUPANDA
usipo kunywa maji ya kutosha cholesterol huongezeka kuzuia maji kidogo ndan ya mwilin kuto kupotea
MATATIZO YA MMENGENYO
tibazakissuna.blogspot.com
Unapo kua hujanywa maji na kukosekana kwa alkaline mwili na magnesium una jiweka katika hatar ya kupata maradhi ya vidonda vya tumbo na kupata kiungulia
MARADHI YA KIBOFU AU FIGO
maradhi meng yana kua sana haswa panapo kua na mazingira ya asid unapo kosa maji ambayo yangesaidia kusafisha na kuondoa sumu una yapa nafasi maradhi kama bacteria na mengine kushambulia kibou nafigo
tibazakissuna.blogspot.com
KUNA NJIA NYING ILA NJIA YA KUNYWA MAJI ASUBUHI NI NJIA AMBAYO INAWEZA KUONDOSHA MARADHI MENG HASWA
KWA MWANZO ITAKUA TABU KUNYWA LITA MOJA NA NUSU AU HATA VIKOMBE VINNE VYA MAJI
UNAWEZA ANZA KWA KUNYWA VIKOMBE VIWILI UKAPUMZIKA DAKIKA TATU KISHA UKAMALIZIA VIKOMBE VIWILI
USINYWE POMBE USIKU WA KUMKIA SIKU UNA TAKA KUNYWA MAJI
INA TIBU MARADHI YASIO PUNGUA ISHIRINI IKIWA NI MARADHI YA MAUMIVU YA VIUNGO MATATIZO YA KUUMWA KICHWA NA KUTENGENEZA KINGA YA MWILI NA KUONDOA MARADHI NA MENGINE MENGI
0 maoni:
Chapisha Maoni