Jumanne, 22 Januari 2019

BATA BUKINI




BATA BUKINI NA FAIDA ZAKE

Bata bukini ni moja katika aina bata wafugwao kama walivyo Perkin, mallard, rouen, Swedish, cayuga, Muscovy, Indian runner, na magpie nk maana bata wapo aina nyingi sana lakini hapa nataka nimuongelee bukini kwa uchache.
Upo msemo kuwa mganga haagizi bata, au mgaga haagizi samaki hayo maneno ni ya uongo
Ila Bata bukini mara nyingi si bata anaye fugwa na masikini, kutokana na tabia za ajabu za huyu bata


MAAJABU YA BUKINI

© tibazakissuna.blogspot.com 

Bukini huwa wengi wanashindwa kumfuga kwa sababu huwa akiishi kwa masikini huwa hatagi, na ni mara chache kukuta kataga na akitaga atataga mayai manne kwa mwaka. Bukini akiona nyumba chakula shida na wewe utasahau kupata vifaranga vyake, akiwa na uhakika wa chakula hutaga mpaka mayai 12 kwa mzao mmoja na hutaga mara nne kwa mwaka mpaka mayai 48 kwa jumla ya mwaka.
Bukini hutambua kama mfugaji anahali mbaya ya uchumi au kapanda kiuchumi na yeye atakuonesha kuwa kakuelewa kwa kukuongezea mayai, lakini pia bata anaye penda utani sana kwa wenyeji wa nyumba anayo ishi.

TOFAUTI YA BATA MZINGA NA BUKINI

© tibazakissuna.blogspot.com

  kuna tofauti kubwa ya bukini na Bata mzinga, ambaye wengine humwita kuku mzinga, huyu anaona wachawi na akiwaona hufanya fujo sana na kuparua ukuta sana, lakini uonaji wake ni wa usiku tu, wakati bukini huona mpaka mchana. Pia Mzinga yeye kichwa chake hutumika uchawini kwa kutengenezea uchawi wa sihr tayla ambapo pia husbabisha maradhi ya kuanguka (kifafa) kwa atakaye fanyiwa ushikina. Audhu billahi min dhaalika
Kichwa cha bukini hutumika kutibia kifafa wakati mzinga anatumika kusababisha maradhi, japo nyama yake ni tamu na haina madhara.

FAIDA ZA BUKINI

Yai la bukini ndiyo yai lenye virutubisho vingi kuliko yai la ndege yeyote katika ndege wanao fugwa, nyama ya bukini na supu yake huongeza nguvu za tendo la ndoa yawezekana kuliko kitoweo aina yoyote kwa wingi wa virutubisho alivyo navyo, na ndiyo ndege msafi zaidi kuliko ndege wote.


© tibazakissuna.blogspot.com

MAAJABU YA BUKINI

Bata bukini huwa ana uwezo wa ajabu katika kuwatambua wachawi, kwa kuwaona na kuwakimbiza iwapo wameleta uchawi katika mazingira ya mipaka anayo ishi, pia humdonoa donoa mtu mwenye uchawi au mwenye dhamira mbaya na watu wa nyumba anayo fugiwa, supu ya bukini hutumika kutosha uchawi uitwao sihri aqumi moja katika aina za uchawi usababishwao na jini Ummu muldami, ambapo uchawi huu huwa unakaa katika viungo vya uzazi na kusababisha matatizo ya number of sperm na sperm motility kwa wanaume, kuwa na udhaifu wa mbegu na kushindwa kusababisha mimba, na kwa wananawake matatizo ya ovarian cyst, beta hormone, na female Hormones, ambapo pia hulazimika na dawa za swihat shifaa pamoja na shajarat maryam.
Bukini ni bata mwenye faida sana.
Mengine nanyamaza kuhofia watu wa kuedit mada wakati hawana wanacho kijua



© tibazakissuna.blogspot.com
 
Chief Nusura
+255713826838
+255784638089
+255758711111

0 maoni:

Chapisha Maoni