Jumanne, 22 Januari 2019

KUCHI




KUCHI

Kuchi ni nini?
Ni ndege walio katika aina kuku wafugwao nankupendwa sana nyama yake, na wengine huwafuga kuchi kama ndege wa pambo la nyumbani.

© tibazakissuna.blogspot.com

  TABIA ZA KUCHI

kuchi hufugwa na kuuzwa bei ghali ambapo kifaranga huweza kufikia elfu hamsini mpaka laki moja ya Tanzania, na akifika miezi sita hiweza kuuzwa laki tatu mpaka milion moja au zaidi, lakini wanao uza kuchi ukiwauliza kwanini unauza bei kubwa atakujibu kwa sababu ni kuchi.
Pia Wazungu na waarabu hutumia kuchi kwa kupiganisha ili kucheza kamari, na kuchi ni kuku hodari sana kwa kupigana.
Pia ni aina ya ndege mchoyo asiyependa wageni, na wakianza kupigana wenyewe kwa wenyewe bandani, basi huamuliwa kwa kurushiwa karanga au mahindi ndipo waache kupigana.


© tibazakissuna.blogspot.com

FAIDA ZA KUCHI KATIKA TIBA

Kuku kuchi ni ndege mwenye upeo na uwezo mkubwa katika kuona ushirikina, hutumika kwenye makafara mbalimbali kama kuzuia mtu asitolewe msukule, kuzindika nyumba wasiingie wachawi, pia yeye mwenyewe ana uwezo mkubwa kwa kuona na kuzuia wachawi, na ndipo utakapo msikia akiwika kabla ya saa tisa alfajiri pindi inapo tokea wachawi wameingia katika maeneo au mipaka ya maisha yake, hupiga kelele ili watu waamke kwani watu wakiamka na wachawi watalazimika kuondoka. Na kama italetwa uchawi mkubwa basi utakuta kuchi anakufa bila kuugua, na ukiona Mifugo inakufa hivyo jua ndani ya himaya hiyo kumetupiwa uchawi mkubwa. 

KUCHI KATIKA ZINDIKO


© tibazakissuna.blogspot.com

Kucha na mdomo wa kuchi hutumika kwa zindiko la mji, shamba au ofisi mbalimbali, kwa kuchanganya na madawa husika na visomo maalum shifaau l ajila huweza kutumika na majibu utayafurahia pindi mchawi akijipendekeza kwenye eneo lilifanyiwa zindiko kupitia kuchi

KUCHI KWA KUPANDISHA NYOTA

Kwa upande wa nyota kuchi hutumika kwa mvuto na mapenzi aina mbalimbali kuondosha nuks na mikosi kwa kuchanganya na dawa thalaathatu baidhwaaau na visomo vizito vya ayaatu l fatih .


© tibazakissuna.blogspot.com

  KUCHI KWA KUTEGULIA UCHAWI

Kuchi hutumika kugua uchawi iwapo nyumba au shamba imefungwa kichawi, ima mtu kachukuliwa nyota, basi kuchi hutumika na nyota pamoja na kimvuli hurejea haraka sana, iwapo utatumia kuchi kuliko kutumia ndege aina nyingine.
Hayo ni baadhi ya yale usiyo yajua kuhusu kuchi.

Chief Nusura
+255713826838
+255784638989
+255758711111

0 maoni:

Chapisha Maoni