SALAAM ALYKUM MADA YA LEO NI CHUMA ULETE
unapoongelea chuma ulete ni kitu ambacho kipo sana mitaani na baadhi
ya watu kuona kama labda ni mambo na maneno ya kiswahili au watu wasio
na elimu na maarifa.
lakini uhalisia wake upoje??
chuma ulete ni aina ya wizi ambao hutia hasira na hasara katika
maisha na kazi mbalimbali za kimaendeleo, kwani huwa wanatumika aina ya
majini ambao wamefunga mikataba na binaadamu wenye imani ya kishirikina
au maarufu wachawi
.
majini hawa wizi wao huwa hawaibi pesa zote au mali yote ila hueiba
kama ni pesa basi huiba chini ya 30% na kukuachia 70% au zaidi.
maana ni majini wezi na ndiyo wenye michezo ya kufanya watu kuwa
misukule pamoja na kuiba mimba za wamama ambao mimba zao zilifika miezi 7
au 8 na kisha mama huyo akienda hospital huambiwa tumboni hamna kitu.
hao ni majini aina ya GHUUL
majini hao wapumbavu kama atakuwa ni jini mahaba basi dalili ya jini
mahaba aina ya ghuul ni kwamba mtu utakuwa na bahati ya kuokota pesa na
vitu vya thamani haswa unapokuwa na shida ya jambo hilo.
vipi uwaondoe majini hawa?????
kwani wanaweza kusababisha mtu atakaye kumbwa majini hao kubadilika tabia na kuwa mwizi ghafla jambo ambalo hakuwa nalo awali.
ima mtu kuwa natibia za kuota unazikwa japo ndoto hizo hufanana na mtu mwenye jini maiti.
TIBA YAKE
© tibazakissuna.blogspot.com
mafuta ya figiri
mafuta ya ndimu
mafuta ya ngamia
mafuta ya mkunazi
awe anapakwa mgonjwa kila siku asubuhi na usiku siku 21
DAWA ZA KULA
© tibazakissuna.blogspot.com
shomar
bakar had
al hamza
kharmal
utachanganya na kunywea katika uji. pia kisomo ni aya zinazo taja kifo na kiama
kwa siku 7.
kumbuka majini hawa ghuul hutumika kumfanya mtu kuwa msukule na katika tiba basi waganga washirirkina hukwambia una mzizimu ya kwenu kumbe unadhurika na huwa wanaweka alama maalum katika uso ikiwa mfano wa chale ili waganga washirikina wasikutiby.
fata hayo maelekezo na ALLAH akuponye.
TOA MAONI YAKO


asalam alaykum.mimi namatatizo sana ya kipesa ninamwaka wa kumi sasa na kila mwaka napata mshahara usiopungua laki 4 lakini sielewi psa iyo inakwenda wapi nikiwa namana kuwa sioni nachokifanya je nawezakuwa nasumbuliwa na nini
JibuFutamimi nahitaji kuonana na wewe kwa ajili ya tiba
JibuFutaNin NC
JibuFutaIJUWE SIRI YA MALI NA UTAJIRI KWA NDAGU NA MAJINI PIA ASILI YAKO.
JibuFutaKATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.
N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843
HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO
i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu
Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao
Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana
ii) JAMBO LA PILI
Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau
Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako
iii) JAMBO LA TATU
ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake
iv) UKIWA WAPATA PESA
ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji
v) USIMZULUMU MTU
kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa
vi) USIZARAH MILA
ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema
vii)USIWE WA NAMNA
1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.
KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K
DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.
Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.
JibuFutaMwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.
Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.
Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.
Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.
Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com