Ijumaa, 4 Julai 2014

REJESHA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MKEO


REJESHA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA MKEO

Tendo la ndoa ni tendo lenye ladha ya pekee kwa mwanadam 
kufika kilele hali hii hua haichukui dakika ni kitendo kinacho jiri ndan ya sekunde 30 haswa kwa mwanaUme na kwa mwanaMke huzidia kias kuna sababu yake ntaelezea baadae 
 sasa tendo hili kwa mwanaMke ni kama kuonyesha maridhio ya nafsi yake kwa ampendae

mwanaUme humchukia mwanaMke kwakua hataki tendo la jimai na mwanamke humlaumu mwanaUme kua hajui kupenda
mwanaume humlaum mwanamke kua huongelea tu mapenz lakin hajui kuyafanya hayo mapenz anayo yataka 

sababu ya mwanadamu kutaka kufanya jimai ni homoni iitwayo testosterone ambapo mwanaume huzalisha 20 zaid ya mwanamke anavyo zalisha yaani mwanamue akifanya leo akashinda kesho atajiona sawa na mwanamke alie fanya leo na kupumzika siku 20 bila kufanya,

sasa kimaumbile yetu mwanaume hua ni mwenye kuhitajia sana tendo hili na mwanamke huitajia baada ya kuona kua anapendwa Ndo maana mwenye elim alituusia tuishi nao kwa mapenz na huruma

 ©tibazakissuna.blogspot.com

najua hulka ya kiume ni kufukuzia mwanamke kama afanyavyo mnyama wa porini utasumbuliwa na utakimbiza labda kwa mda mrefu ila unapo mpata unashangalia na kula kwa furaha ila ham ile huisha kadiri siku zinavyo zidia unapo kua nae ( naongelea walio kwenye ndoa ) 

na mwanamke nae hua na manjonjo meng mwanzon na akisha ona sasa nimesha teka mipaka yote ya nchi hii hujisahau na kutulia kitu ambacho humfanya mwanaume kujiuliza vip mke ameshapata wa pemben japo sio hivyo

sasa ili kudumisha ndoa iwe ni yenye kudumu hakikisha mwanaume una mfukuzia (DATING) mkeo yaani una mtoa dina kama vile ulivyo kua unafanya kabla hujampata sawa bhana una mpeleka sehem nzur ambayo hajawah fika na usione haya kumshika au kumchumu mkeo ni wako bhana na hakika yeye hujiskia mapenz sana na utadumu nae mda mrefu bila kuona usaliti labda iwe tabia yake 

 ©tibazakissuna.blogspot.com

KWANN NIMEONGELEA  HAYA 

jua kua mechi ambayo hujapigia tizi  una asilimia kubwa ya kufungwa yaani hata kama ungekua umefundwa yote kuhusu jimai na kama hakuna mapenz ndani ya nafsi ya mwanamke una asilimia ndogo ya kumfikisha kilele

kisha baada ya hayo mkuu wa elimu anasema amelaaniwa anae muingilia mke wake bila kumuandaa

yaani  zipo sehem zaid 21 kwa kwa mwanamke usikimbilie kwa bibi yaani kama zipo 1 mpaka 5 anza  na 1 kisha nenda 3 rudi 2 njoo 1 rudi 4 njoo 3 rudi 2 kisha malizia na 5 

kama hayo yote yamefanyika na bado basi
 huenda ni JINI MAHABA maana anakua na tabia mbaya ya kuvuruga mipango ya wapendanao ulingoni VYEMA UFIKE OFISIN kumtoa

©tibazakissuna.blogspot.com

HUDUMA YA KWANZA

KUNGU MANGA robo kilo. 

KARANGA nusu.

KISHA CHANGANYA lakini kungu manga itabidi UTWANGE na karanga USITWANGE, 
kisha tafuna pamoja  nusu saa au saa moja kabla ya kuanza kuingia katika jimai (TENDO LA NDOA).
utapata raha na hisia za ajabu na kufurahia tendo hilo. utadumu hivyo kwa siku 11 ukitumia tiba hii. na utapona inshaa Allah.

 ©tibazakissuna.blogspot.com
 

14 maoni:

  1. nimeshukuru kwa tiba zenu ila hapa kwenye hii tiba ya kurejesha hisi hujafahamishwa jinsi ya kula iyo karanga na kungu unavyofanya kaka unga unameza na karanga unatafuna au vip

    JibuFuta
  2. changanya pamoja yaani unga na karanga viambatanishe bugia kidogo kidogo huku ukitafuna nusu saa kabla ya jimai asante kwa kutufatilia

    JibuFuta
  3. au pakaa misq nyeupe kwenye uke

    JibuFuta
  4. hapo sija faaham sasa hiyo kungu manga na karanga anakula mwanamke au mume na hiro robo kilo ya kungu manga anakula kwa awam kila anapotaka tendo au anakula yote.

    JibuFuta
  5. hapo sija faaham sasa hiyo kungu manga na karanga anakula mwanamke au mume na hiro robo kilo ya kungu manga anakula kwa awam kila anapotaka tendo au anakula yote.

    JibuFuta
  6. Kwa wanawake inasaidia nn haswaa

    JibuFuta
  7. Sasa hii utatumia wakati wowote ama mpaka uwe unataka kufanya tendo La ndoa??

    JibuFuta
  8. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma

    Kwaheri Gerd Ulrich

    JibuFuta
  9. Kwahyo hyo kungu manga unaweza changanya kwenye kimiminika chochote

    JibuFuta
  10. Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

    Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

    Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ni tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

    Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

    Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

    Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159
    dawnacuna314@gmail.com

    JibuFuta
  11. Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.

    Niliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com

    WhatsApp: +2349046229159

    Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
    Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.

    Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.

    Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.

    Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.

    Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.

    Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi

    JibuFuta
  12. Nataka kutoa ushuhuda kuhusu jinsi nilivyopona kutokana na Virusi vya Herpes. Miezi michache iliyopita nilikuwa na dalili kadhaa. Nilienda kumuona daktari na vipimo vingi vya damu vilifanywa kwangu, baadaye niliambiwa nilikuwa na Herpes. Daktari wangu aliniambia kwamba hakuna tiba ya Herpes. Nilijisikia vibaya, niliingia mtandaoni nikitafuta tiba inayowezekana ya Virusi vya Herpes, niliona chapisho la Dkt. Dawn, daktari wa mitishamba anayewasaidia watu kupona kutokana na Herpes. Saratani. VVU na mengineyo. Niliwasiliana naye na kumwambia jinsi ninavyohisi. Alisema dawa yake ya mitishamba inaweza kuniponya. Alinitumia dawa kupitia huduma ya utoaji wa UPS na nilipokea dawa siku 6 baada ya kuituma, nilichukua dawa kama alivyoniagiza. Kabla sijakamilisha dawa dalili zilisimama. Nilienda kwa daktari na kufanya kipimo kingine cha damu, cha kushangaza nilikuwa hasi. Sijapata dalili tena. Dkt. Dawn ni mzuri na unaweza
    kuwasiliana kwenye WhatsApp: +2349046229159
    Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )

    Ikiwa unahitaji dawa za mitishamba kutibu magonjwa yoyote sugu au ya zinaa kama.
    HERPES.
    SARATANI.
    VVU/UKIMWI na zaidi

    JibuFuta