Jumanne, 30 Desemba 2014

UTAMJUAJE JINI ANAYE KUTESA?


MAJINI NA UTAMBULISHO WAO (HOW TO IDENTIFY THE EVIL SPIRIT THAT POSSESSING YOU)

Kujua aina ya JINI anaye kutesa, huwa inaambatana sana na mfumo wako wa maisha yako kwa ujumla. haswa kwa njia ya :

1) mavazi

2) ndoto

3) tabia

mifumo hii inatosha sana kukujulisha aina ya jini akusumbuaye na jinsi ya kukaa naye mbali.


MFANO

1) unapolala na kuota wanakuja watu wamevaa NGUO za NJANO
basi angalia tabia yako itakayo kuandama, 
utakuwa mwenye kupenda KULALA unapokuwa msikitini hasa wakati wa khutba.
pia utakuwa huelewani na waislam bali utakuta wengi rafiki zako ni wakristo, 
utakuwa ukipenda kuongea kiingereza hata kama hukusoma na huna elimu. nandoto za kuota safari ya ulaya ima kukaa na wazungu 


TIBA
hawa wasilimishwe kisha watolewe


2) kuota watu wenye NGUO za BLUU SAMAWATI,
 humaaanisha kwamba una majini wayahudi, na tabia yako ni kuwa mnafiki na mgombanishi, huwapendi waislam wala wakristo. unakuwa hupatani na maongezi ya dini.lakini pia ibada hufanyi. wewe ni uongo na kupenda madaraka. hawa MAJINI WAYAHUDI 
hawa wakipanda hujifanya waislam, au wanadai wao ni walinzi. ni


TIBA
wakuwaondoa ima kuwaua


3) kuota watu wamevaa NGUO NYEUPE
basi itakupelekea kuwa mpole mpaka kero, pia utakuwa na huruma kupita kiasi, halafu una mapenzi na huruma kwa waislam, majini hao ni waislam. lakini hawaujui uislam, 

TIBA
wakilinganiwa hutoka bila tabu


4) kuota watu wenye NGUO NYEUSI 
basi itaaambatana kuwa mwenye kupenda ngoma na historia za kale,
unapenda simulizi sana, mvivu wa ibada.  
sababu MAJINI HAO NI WAPAGANI
tibazakissuna.blogspot,com


TIBA
inakubidi uwasilimishe na kuwatoa

kumbuka majini ni wakaidi na watukutu sana, huwa akikubali kutoka kirahisi basi huwa anaendelea kufanya hila ya kutaka kurudi tena mwili na visa ndani ya miezi mitatu siku 90. 
kumkomesha kwake ni tibazakissuna.blogspot.com

upate MAFUTA YA  ZAYT SHIFAA ,
ambao ni mchanganyo wa mafuta maalum kisha upakae kwa siku 90
na basi utakuwa umewakomesha vyema majini AINA ZOTE.

pia usisahau KISOMO
kisomo ni muhimu sana ili dawa iwe ni yenye kufanya kazi.

USIKOSE kuwa unatembele hapa kwa elimu zaidi
tibazakissuna.blogspot.com

5 maoni:

  1. Mafuta ya ZAYT SHIFAA una jipaka sihemu gani ya mwili ama mwili mzima

    JibuFuta
  2. Mafuta ya ZAYT SHIFAA una jipaka sihemu gani ya mwili ama mwili mzima

    JibuFuta
  3. Naam Swadakta mufti Allah'Barik

    JibuFuta
  4. Kwa karibu mwaka mmoja, mume wangu aliniacha mimi na watoto wetu wawili. Aliacha kujali, akaacha kupiga simu, na akaondoka kabisa. Nilikuwa nimevunjika moyo, nimechanganyikiwa, na karibu kupoteza tumaini. Kisha siku moja, rafiki yangu aliniambia kuhusu Dkt. Dawn, mtu wa kiroho aliyepewa kipawa na ulimwengu ili kuwasaidia watu kurejesha upendo na amani.

    Mwanzoni, nilikuwa na shaka, lakini kitu kuhusu maneno yake kilinipa amani. Aliniambia haswa kilichokuwa kibaya na kwamba mtu alikuwa ametupa uchawi mkali kututenganisha. Aliandaa kazi maalum ya kiroho na uchawi wa kuungana tena kwa ajili yangu - na ndani ya siku chache, mume wangu alinipigia simu ghafla, akilia na kuomba msamaha.

    Tangu wakati huo, maisha yangu hayajawahi kuwa sawa. Ndoa yetu sasa ndiyo tamu na yenye furaha zaidi duniani. Tunapendana zaidi kuliko hapo awali, na nyumba yetu imejaa vicheko na baraka.

    Lakini sio hivyo tu - Dkt. Dawn pia alisaidia kuondoa bahati mbaya na nishati hasi iliyozunguka familia yetu. Tangu wakati huo, kila kitu kimekuwa laini: amani nyumbani kwetu, maendeleo ya kifedha, afya njema, na furaha safi.

    Ninashukuru ulimwengu kila siku kwa kuniongoza kwa Dkt. Dawn. Kwa kweli ni mtu mwenye nguvu na mwanga wa kimungu. Ikiwa unapitia hali yoyote - huzuni, bahati mbaya, au kuchanganyikiwa - usikate tamaa. Mfikie na uache ulimwengu ufanye kazi kupitia yeye ili kubadilisha hadithi yako, kama vile alivyobadilisha yangu.

    Wasiliana naye kwenye WhatsApp: +2349046229159

    JibuFuta