Jumatano, 24 Desemba 2014

JINI UMMU MULDAMI ANAVYO SABABISHA UVIMBE KATIKA KIZAZI.

 

 UMMU MULDAMI (EVIL SPIRIT/DJINN)

Ukiongea kuhusu jini aina hii aitwaye UMMU MULDAMI, jua kwamba unaongelea jini M^BAYA miongoni mwa MAJINI WAKOROFI.
Jini huyu huwa anakaa katika MFUKO WA KIZAZI na kutumia aina ya uchawi uitwao AQUMI.Kisha uchawi huo hukaa katika MIRIJA YA UZAZI na kusababisha UVIMBE katika kizazi.
Jini huwa ni hatari na ni msumbufu sana.
tibazakisunna.blogspot.com
Jini ummu muldami husababisha maradhi mengi katika mwili wa binaadamu,

DALILI ZA KUKUJULISHA UNA JINI UMMU MULDAMI

1) kushikwa ngiri wakati wa joto

 2) kushikwa chango linalo zuia mkojo

 3) mwanamke kukosa hedhi miezi mitatu hadi nane mfuatano

 4) mwanaume kuwahi kushusha manii haraka

 5) mwanaume kusinyaa uume wakati wa jimai katikati ya tendo

 6) mwanamke kuwa na maziwa kama mjamzito

tibazakisunna.blogspot.com
Jini huyu pia ni mgumu kupanda ila husababisha MAUMIVU MAKALI YA KICHWA maeneo ya KICHOGONI.kisha kujikuta midomo ikitetema na kushindwa kuongea.
lakini kwa neema ya Mola kuna njia ambayo ukitumia huondoka kisha mtu akapata mtoto,lakini bila kumuondoa huwa ni ngumu sana kwa wanandoa kupata mtoto.
tiba yake inakubidi upate mtu mwenye kujua na Ucha Mungu.ili afanye kisomo kwa muhusika.
aina ya dawa kwa mgonjwa huyu ni

1) sanamaki

 2) zattari

 3) hulba

 4) sufa

 5) khardal
tibazakisunna.blogspot.com


CHANGANYA ikiwa zote ni UNGA na upate kiasi cha gm 200
na kunywa katika uji wa MTAMA au ULEZI usiwekwa na kitu chochote zaidi ya sukari hafifu. siku 30. huku akifanyiwa kisomo cha yaasin saaqitw siku saba
in shaa Allah atakuwa mwenye kupona. na pia usisahau kumpa mafuta ya kupakaa kwa siku 30 ambayo ni ZAYT SHIFAA ili kumuua nguvu JINI.
tibazakisunna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni