Jumapili, 28 Desemba 2014

TIBA YA MENO


TIBA YA MENO (TEETH INFECTION)

Kwakweli meno ni kitu kidogo ila thamani yake ni kubwa sana.
Leo imezuka msemo kuwa dawa ya jino ni kung'oa, sasa hebu jiulize hivi unatang'oa meno mangapi kama si kutafuta kuwa kibogoyo?
kama dawa ya jino kutoa,kwanini dawa ya kichwa isiwe kukikata?
huu ni msemo mbovu kwa sababu msemaji hakuwa akijua zaidi juu ya meno.
nusuru meno yako kwa 
tibazakissuna.blogspot.com

NUNUA DAWA ZIFUATAZO

1) SHABU

2) KARAFUU

3) MDAA

dawa hizi hakikisha umesaga na kuupata unga wake kisha uuchanganye vyema.  
Ukiisha kuuchanganya kifuatacho ni namna ya kutumia.

MATUMIZI

chota dawa KIDOGO SANA kisha weka katika mswaki,halafu uwe unaswaki kwa dawa hii bila dawa nyingine.

KWA JINO LILIOTOBOKA

chukua dawa kidogo kisha weka katika PANGO LA JINO na ufumbe kwa dakika 5
halafu sukutua na kutema kisha weka nyingine katika mswaki
utafanya hivyo ASUBUHI NA USIKU 
mafanikio utakayo yapata kwa kuimarika meno yako basi usione shida kutupa TAARIFA kwa tibazakissuna.blogspot.com

0 maoni:

Chapisha Maoni