Jumanne, 23 Desemba 2014

WAJUA KUWA MAJINI NA WACHAWI HUUGOPA MKUNAZI !!!!

MKUNAZI NA UCHAWI ( JUJUBE TREE REPEL SPIRIT AND WITCH )


Amini ndg yangu, unapoongelea mti wa MKUNAZI basi unaongelea ule mti ambao Allah ameuita SIDRAT L MUNTAHA, yaani mti unao maliza mambo yote, au mwisho wa mambo,
WAKRISTO wakauita mti wa uzima, japo mkiristo hajui mti wa uzima ni mti gani, ila kwa taarifa mti huo ni MKUNAZI.

KWANIN MAJINI NA WACHAWI HAWAPEND MTI HUU ?


mti huu huwa unapendwa sana kukaliwa na malaika wakubwa kama RAUQAYAAIL,SAMSAMAAIL,GHANAAIL,ISRAHAMAAIL,DARDAAIL nk.
hivyo majini wote waasi na wachawi huwa wanapofika mahali penye mti wa mkunazi hawawezi kukaa wala kusimama mahala hapo.
na ndiyo maana mkunazi unapo kuwepo basi katika nyumba hiyo huwa hafiki mchawiwala shetani.  tibazakisunna.blogspot.com

FAIDA YA MKUNAZI  

tibazakissuna.blogspot.com
mkunazi una faida nyingi sana

1) majani yake ukiloweka na kuogea iwapo utasomea aya za qur aan basi utaepukwa na kukaliwa mbali majini aina 10 wakorofi ambao ni

1) jalwush,

2) ummu muldami 

3) ankis 

4) ghaughaan 

5) bedui bidwaan 

6) makata wa makatani

7) maymuna l hind'

9) zawaabil 

10) atruush

majini hao kamwe hawata mdhuru tena mtu iwapo atafanyia kisomo maalum cha KHAWAATIMU katika maji yaliyo lowekwa majani ya mkunazi.
pia majani ya mkunazi iwapi unaumwa KIFUA SUGU lakini si pumu, chemsha pamoja na ndimu kisha unywe kwa siku 14 utapona, 
 kama UNAWANGIWA au kutembelewa na wachawi mara kwa mara basi chukua MAJANI YA MKUNAZI kisha weka HAIJALI na FAYJALI loweka pamoja na usomee kisomo cha KHAWAATIMU, kisha umwage ndani ya nyumba au shamba na wachawi hawatokujia tena kukudhuru. ndg mkunazi una mambo mengi sana ambapo ukiwa nao unaweza kufungua clinick kwa kutumia majani ya mkunazi tu.  tibazakissuna.blogspot.com

Tabia ya mti huu ni ajabu sana kama ulivyo mti wa MZAYTUNI,mtu mwenye roho mbaya akipanda basi mti huu hauoti

na mchawi akipita katika eneo lenye mti huo, basi ajue mtukuta asubuhi, na HATOONDOKA mpaka wachawi wenzake waje wamlipishe faini, na vipi utamgundua mchawi aliye naswa katika nyumba iliyo fanyiwa kisomo cha khawaatimu kwa majani ya mkunazi?. utamkuta akiwa katika umbo la paka mweusi au nyoka aina ya cobra
 unapo hitaji kujua zaidi basi tembelea blog yangu tibazakissuna.blogspot.com
utapata mengi.


14 maoni:

  1. shukran kwa elimu yako shekhe. je hayo majani ya mkunazi yanapatikana wapi

    JibuFuta
    Majibu
    1. Kwa anayehitaji ..mafuta ya tembo..asali mafuta ya mkunazi ..mafuta ya nyonyo ..mafuta ya simba ..na dawa zote za kisuna na mitishamba na mengineyo pia anayehitaji bahati na utajir nipigie 0744903557

      Futa
  2. Dr wa mitishamba toka tanga anatibu ugumba. .uzazi
    Kuondoa uchaw majini na mapepo..
    nguvu za kiume ..kukuza uume na kurefusha na kunenepesha uume ..uti sugu ..kubana uke kukuza hips na makalio ..mapenz zindiko uchawi mpigie dr toka tanga 0744903557

    JibuFuta
  3. Nam shukran san kwa elimu yako yenye manufaa kwa waumini ila mi nipo Mombasa Istoshe nahitaj ayo mafuta ya mkunazi nitayapata kwa bei gani?

    JibuFuta
  4. shekh ahsante kwailimuyako na allahakujalie bebo nitumie jinsigani jogoyausi kwakukinga nyumbayangu

    JibuFuta
  5. Shukran kwa elim nzur..vp tutajuaje hayo mafuta n halis au vp mana sasaiv wajanja wa kunchakachua weng sana

    JibuFuta
  6. Nashukuru sana ila unaifanyaje kwa mtoto aliepata kijicho

    JibuFuta
  7. Shukran jazila,nacho hicho kisomo cha khawaatimu ni sura zipi katika Qur'an Tukufu,naomba kujua kwani Mimi na familia yangu tunajikuna mwili mzima na tumejaribu hospitali na bado hatujafanikiwa kupoa

    JibuFuta
  8. Watu wa mwanza je tunapataje

    JibuFuta
  9. Watu wa arusha tutapataje

    JibuFuta
  10. hakika dawa nzuri Sana ila sijajua hii kukuza makalio na maumbile kuyakuza Allah anahukumu vipi juu ya hili kwakua kwakufanya hivyo ni kumkosoa muumba ilehali Allah habahatishi katika kuumba kwake kwa hakika hii ni dhulma iliyowazi
    toeni Tina kwa kuzingatia makadirio ya Allah

    JibuFuta
  11. tatizo letu tunapenda kheri pindi ikitufikia na pia twapenda Shari kwa mafanikio ya muda mfupi

    JibuFuta
  12. Habari zenu, nipo hapa kushuhudia, jinsi nilivyo kuwa mwanamitindo tajiri na maarufu duniani mwenye mafanikio makubwa, nimekuwa nikipitia magumu miaka nenda rudi, tangu nilipofiwa na wazazi wangu wote wawili, sikuweza kuendelea zaidi na mshikaji wangu kutokana na Suluhu la kifedha basi, hadi miezi mitano iliyopita, nilimaanisha rafiki ambaye aliniingiza kwenye familia ya freemason, mwanzoni niliogopa kujiunga, kwa sababu nimesoma habari nyingi za uongo kwenye mtandao kuhusu familia ya freemasonry, na ambayo sasa ninaijua. hiyo sio kweli, zote zilikuwa habari za uongo, na napenda kutumia fursa hii kusema asante sana kwa familia ya freemason, ndugu wote wa familia hii, nawashukuru sana kwa support mnayonipa, na kwa waliodhani familia ya freemasonry ni mbaya, haijui sheria na kanuni za huyu jamaa, tafadhali acha kuhukumu ulikuwa hujui, na acha kusambaza habari za uongo, kama una nia ya kuwa mwanachama ufurahie. faida za familia ya freemasonry, contact off anuani icial hapa chini kwa taarifa zaidi.

    WhatsApp; +31 687 329 133
    Barua pepe; info.masonic.oregon@email.cz
    Barua pepe; info.masonic.oregon@gmail.com
    Au soma zaidi kuhusu sisi kwenye kiungo cha ukurasa wa Facebook; https://web.facebook.com/infomasonicoregon

    JibuFuta